Ajira za TAMISEMI

Ajira za TAMISEMI

Aandike kwenye CV gani ?

Kumbe kuna watu wageni kabisa kwenye hizi applications halafu wanatoa ushauri kana kwamba wanajuwa sana haya mambo.

Mkuu hakuna sehemu ya kuweka CV usimchanganye atakuja kukuuliza CV hiyo aweke wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui utamjibuje ?Kuandika kwenye barua hapo sawa. Ila sidhani kama wanasoma kila barua.
Sasa c jambo la kujiongeza tuu hapo kama hakuna sehemu ya cv c Unaweka kwenye barua. Au unadhani wote tunaokoment n waalimu.?
 
Huyo mdau angekupa vitu vingi sana kama ungekuwa mtulivu...lkn nakuona unaenda nae sambamba kama vile huna unacho hitaji kwake wakati umekuja kuomba ushauri na ajira bado hujapata.....punguza ujuaji tulia upate kitu.
Aliye kuambia mimi ni Unemployed ni nani..!?
 
Baada ya kuja kupata training ya namna ya kuandika CV na Cover Letter sijawahi kukosa kuitwa kwenye interview na nilipata kazi kirahisi sana.
Enzi hizo lakini sasa mie ni mkongwe.
Mkuu si utoe mwongozo au sample skeleton ya CV+Cover letter, natamani kujifunza mapya.
 
Back
Top Bottom