Ajira za TAMISEMI

Kazi imeanza.... Hapo sehemu ya kuandika hiyo namba ya form 4 haipo
 
Wadau mliopitia kwenye hzo shule hakuna uhitaji wa walimu wa history geo na kiswahili kweli?
 
1. Barua tuna andika kwa mkono au computer?

2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…