DOMINGO THOMAS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 365
- 365
- Thread starter
-
- #141
SawaKijana utapata tabu sana, kosa lolote dogo nje.
Una-mfano hapo...!?Andika kwa kiswahili halafu andika kwa mwandiko ule wa kuunganisha kama tulivyofundishwa darasa la kwanza
Ajira za serikalini zina mambo ya hovyo sana, unaweza kuta wanaangalia hadi muundo wa mwandiko
Hio ni shida. But usiache kutuma maombi.Msaada wakuu.Vyeti vyangu vya kitaaluma natumia majina mawili ila kwenye NIDA ni majina matatu.Vipi hii haiwezi kuniletea shida kwenye kuchaguliwa?
Wadau Wana bishana wamejitolea wenye barua za Tamisemi kupitia mkurugenz wengine hawana hawajui waweke au wakaombe ambao hawana1. Barua tuna andika kwa mkono au computer?
2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza?
Kazi ipo 😂Una refresh vp mkuu?
Kuna vipengele hapo kwenye kujaza chuo hakikisha umeweka sahihi kwenye kila kipengele. Ukikosea sehemu moja ndo yanakuja hayo matatizoKwa nini nikijaza taarifa za chuo inanijubu "udefined"? Wakati taarifa nilizoweka ni sahihi?
One man down 😂Msaada wakuu.Vyeti vyangu vya kitaaluma natumia majina mawili ila kwenye NIDA ni majina matatu.Vipi hii haiwezi kuniletea shida kwenye kuchaguliwa?
Kwenye system hamna sehemu ety ulijitolea, ila nashauri andika kwenye cv na barua kama job experienceWadau Wana bishana wamejitolea wenye barua za Tamisemi kupitia mkurugenz wengine hawana hawajui waweke au wakaombe ambao hawana
One man down [emoji23]
Baadhi hao walikuwa Wana bishana walipewa barua toka kwa mkurugenzi kuonesha walikuwa wanajitolea zilitoka TamisemiKwenye system hamna sehemu ety ulijitolea, ila nashauri andika kwenye cv na barua kama job experience
Kupitia uzoefu wangu Mimi niliandika kwa mkono na lugha ya kiswahili na kazi nilipa
Miaka 7 bila kuajiri na kutengeneza sekta binafsi mingi sana mkuu!Inabidi wafaje hivyo, kuna watu wengi mtaaniAndika kwa kiswahili halafu andika kwa mwandiko ule wa kuunganisha kama tulivyofundishwa darasa la kwanza
Ajira za serikalini zina mambo ya hovyo sana, unaweza kuta wanaangalia hadi muundo wa mwandiko
Aandike kwenye CV gani ?Kwenye system hamna sehemu ety ulijitolea, ila nashauri andika kwenye cv na barua kama job experience
Utalishughulikia ukiajiriwa, miaka ya nyuma majina yalikua yakitumika mawili kwahiyo utaliweka sawa tu.Msaada wakuu.Vyeti vyangu vya kitaaluma natumia majina mawili ila kwenye NIDA ni majina matatu.Vipi hii haiwezi kuniletea shida kwenye kuchaguliwa?
Haya!Wewe acha kupotosha watu unataka sifa kama unajuwa sana kumbe hujui miaka miwili iliyopita hawajasema kucertify na watu wameomba bila kucertify na wamepata na mwaka huu hawajasema kama kawaida.
We unakazana kuwambia watu uongo.
Hivi hii barua una Ambatanisha sehemu gani...!? Kwenye sehemu ya barua ya maombi or..!?Wadau Wana bishana wamejitolea wenye barua za Tamisemi kupitia mkurugenz wengine hawana hawajui waweke au wakaombe ambao hawana
Kazi ni kubwa mno😂Kazi ipo 😂