Ajira za TAMISEMI

Ajira za TAMISEMI

Msaada wakuu.Vyeti vyangu vya kitaaluma natumia majina mawili ila kwenye NIDA ni majina matatu.Vipi hii haiwezi kuniletea shida kwenye kuchaguliwa?
 
Kwa nini nikijaza taarifa za chuo inanijubu "udefined"? Wakati taarifa nilizoweka ni sahihi?
Kuna vipengele hapo kwenye kujaza chuo hakikisha umeweka sahihi kwenye kila kipengele. Ukikosea sehemu moja ndo yanakuja hayo matatizo
 
Wadau Wana bishana wamejitolea wenye barua za Tamisemi kupitia mkurugenz wengine hawana hawajui waweke au wakaombe ambao hawana
Kwenye system hamna sehemu ety ulijitolea, ila nashauri andika kwenye cv na barua kama job experience
 
Kupitia uzoefu wangu Mimi niliandika kwa mkono na lugha ya kiswahili na kazi nilipa

Andika kwa kiswahili halafu andika kwa mwandiko ule wa kuunganisha kama tulivyofundishwa darasa la kwanza

Ajira za serikalini zina mambo ya hovyo sana, unaweza kuta wanaangalia hadi muundo wa mwandiko
Miaka 7 bila kuajiri na kutengeneza sekta binafsi mingi sana mkuu!Inabidi wafaje hivyo, kuna watu wengi mtaani
 
Kwenye system hamna sehemu ety ulijitolea, ila nashauri andika kwenye cv na barua kama job experience
Aandike kwenye CV gani ?

Kumbe kuna watu wageni kabisa kwenye hizi applications halafu wanatoa ushauri kana kwamba wanajuwa sana haya mambo.

Mkuu hakuna sehemu ya kuweka CV usimchanganye atakuja kukuuliza CV hiyo aweke wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui utamjibuje ?Kuandika kwenye barua hapo sawa. Ila sidhani kama wanasoma kila barua.
 
Wewe acha kupotosha watu unataka sifa kama unajuwa sana kumbe hujui miaka miwili iliyopita hawajasema kucertify na watu wameomba bila kucertify na wamepata na mwaka huu hawajasema kama kawaida.

We unakazana kuwambia watu uongo.
 
Haya!
 
Wadau Wana bishana wamejitolea wenye barua za Tamisemi kupitia mkurugenz wengine hawana hawajui waweke au wakaombe ambao hawana
Hivi hii barua una Ambatanisha sehemu gani...!? Kwenye sehemu ya barua ya maombi or..!?
 
Back
Top Bottom