DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Tumia computer boss😀 kwenye simu haionekanHivi sehemu ya kujisajili kama ni mtumiaji mpya kwenye mfumo mbona haionekani? Msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia computer boss😀 kwenye simu haionekanHivi sehemu ya kujisajili kama ni mtumiaji mpya kwenye mfumo mbona haionekani? Msaada
Hapana, andika lugha MamaEnglish ndio nzuri..!?😂
🤣🤣🤣 Hizi ajira zimekuja ki vingie kabisa hazina mambo mengi. Pia nadhan ambao hawakupata mwaka jana watapewa kipaombeleAandike kwenye CV gani ?
Kumbe kuna watu wageni kabisa kwenye hizi applications halafu wanatoa ushauri kana kwamba wanajuwa sana haya mambo.
Mkuu hakuna sehemu ya kuweka CV usimchanganye atakuja kukuuliza CV hiyo aweke wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui utamjibuje ?Kuandika kwenye barua hapo sawa. Ila sidhani kama wanasoma kila barua.
Asante!Hapana, andika lugha Mama
Eeehee🤣🤣🤣 Hizi ajira zimekuja ki vingie kabisa hazina mambo mengi. Pia nadhan ambao hawakupata mwaka jana watapewa kipaombele
Aweke Desktop Site... AtaionaTumia computer boss😀 kwenye simu haionekan
Ushauri Mzuri.!Preferably barua andika kwa mkono boss.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu acha kumuongezea stress mhitimu wa watuChuo chako cha mchongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] system haikitambui pole sana
okay ngoja nijaribuNenda kwenye Taarifa Binafsi
Wacha wafwe tu hakuna namna tukiwaita kwenye viofisi vyetu wachukue ujuzi tugawane riziki hawataki wanataka mshahara kuanzia 500k[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu acha kumuongezea stress mhitimu wa watu
Sijaona option ya kufuta au kubadilisha namba hapo kwenye taarifa binafsi,, Je nifanyeje?Nenda kwenye Taarifa Binafsi
[emoji1]Lugha ninayo itumia kufanya kazi ni ipi..!?
Sasa hapo hujaelewa nn.? C nmeshasema kama hakuna sehemu ya cv c unasema tuu kwenye barua kuwa ulkuw unajitoleaHuwezi weka barua na CV, Sehemu waliyo kuambia uweke barua only
Computer haiyandiki, unaye andika ni ww kwa ku type kwenye keyboard labda kama inatumia chatgpt, lakini bado uta edit TU1. Barua tuna andika kwa mkono au computer?
2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza?
Mkuu kiofisi kiko wapi nikuje tugawane hako karizikiWacha wafwe tu hakuna namna tukiwaita kwenye viofisi vyetu wachukue ujuzi tugawane riziki hawataki wanataka mshahara kuanzia 500k
we jamaa kila nyuzi za izi ajira umo halaf haujui chochote kwa kichwa kama ni mwalimu pole yako hausomi tangazo haufuati maelezo.Haya!
Asante kwa Taarifa.!we jamaa kila nyuzi za izi ajira umo halaf haujui chochote kwa kichwa kama ni mwalimu pole yako hausomi tangazo haufuati maelezo.
1. hakuna sehemu yoyote wanaitaji kuverify, ukiweka vilivyo verified sawa pia ukiscan original ukawela sawa
2. hakuna sehemu yoyote wameandika barua inatakiwa kwa mkono au kutype walichosisitiza ni sahihi , either andika kwa mkono au type ila usisahau sahihi
3. hakuna sehemu yoyote wameandika andika kwa kingereza au kiswahili ivyo lugha yoyote ni sawa
usicomplicate mambo kama unahaha kila nyuzi unacoment coment hadi mambo ya PSRS wakati tamisemi hayapo
Mambo ya kis**nge sana mradi tu wawape tabu wasaka ajira hivi tabu wanayoipata kwa kukosa ajira tu wanaona haitoshi?Sioni umuhimu wa kuapload copy wakati original unayo. Ambayo unaweka mfumo wa PDF,