Ajira za ualimu na Afya

Ajira za ualimu na Afya

Hongera kwa wale wote waliopata,sisi wengine wa 2017 labda tusibiri nafasi zitakazotangazwa ambapo haijulikani ni mwaka huu au mwakani.Inasikitisha sana,siyo kwetu tu sisi waombaji bali inawasikitisha hata wale wategemezi wetu ambao wanatuonea huruma kwa tunavyohangaika kusaka pesa zetu na hizohizo kuwagawia wao.Mimi binafsi nimekata tamaa tena sana,sidhani hata hizo zitakazotangazwa,kama nitapata.Mategemeo yanakuwa madogo sana kwa mimi kupata.Najuta kwanini nilishawishika kwenda kusoma digrii,ni bora ningeishia hata form six,nikaendelea na mambo yangu mengine badala yake nikaenda kusoma,mkopo ukasumbua,nikatumia nioichokusanya kujisomesha,tena kwa kuambiwa na baadhi ya marafiki zangu kua Bachelor of Education in Early childhood ina soko sana,nikimaliza tu napata ajira,kitu ambacho si kweli,kwani ni miaka 6 hadi sasa, niko mtaani najipambania lakini wapi.Namshukuru Mungu kwa hili, yawezekana ana mipango yake.All in all,nakubali matokeo.
 
Usikate tamaa Mkuu,
Siku yako ipo inakuja.

Wewe wa 2017 ulikata tamaa,wa 2015 watasemaje?
Kikubwa ni kutokata tamaa.

Vipi nao wa 2015 wangekata tamaa wasingeomba? yawezekana wangekuwa bado mtaani..
Lakini unaona wengi wamepewa kipaumbele.

Utapata tu amini.

Unavyoendelea kusubiri hizo ajira,endelea na kazi nyingine.
Si lazima iwe ualimu tu!
Omba nafasi mbalimbali ,za taaluma mbalimbali utapata.

Mungu akafungue mlango wako serikalini...next time is going to be Yours IJN.
Hongera kwa wale wote waliopata,sisi wengine wa 2017 labda tusibiri nafasi zitakazotangazwa ambapo haijulikani ni mwaka huu au mwakani.Inasikitisha sana,siyo kwetu tu sisi waombaji bali inawasikitisha hata wale wategemezi wetu ambao wanatuonea huruma kwa tunavyohangaika kusaka pesa zetu na hizohizo kuwagawia wao.Mimi binafsi nimekata tamaa tena sana,sidhani hata hizo zitakazotangazwa,kama nitapata.Mategemeo yanakuwa madogo sana kwa mimi kupata.Najuta kwanini nilishawishika kwenda kusoma digrii,ni bora ningeishia hata form six,nikaendelea na mambo yangu mengine badala yake nikaenda kusoma,mkopo ukasumbua,nikatumia nioichokusanya kujisomesha,tena kwa kuambiwa na baadhi ya marafiki zangu kua Bachelor of Education in Early childhood ina soko sana,nikimaliza tu napata ajira,kitu ambacho si kweli,kwani ni miaka 6 hadi sasa, niko mtaani najipambania lakini wapi.Namshukuru Mungu kwa hili, yawezekana ana mipango yake.All in all,nakubali matokeo.
 
Hongera kwa wale wote waliopata,sisi wengine wa 2017 labda tusibiri nafasi zitakazotangazwa ambapo haijulikani ni mwaka huu au mwakani.Inasikitisha sana,siyo kwetu tu sisi waombaji bali inawasikitisha hata wale wategemezi wetu ambao wanatuonea huruma kwa tunavyohangaika kusaka pesa zetu na hizohizo kuwagawia wao.Mimi binafsi nimekata tamaa tena sana,sidhani hata hizo zitakazotangazwa,kama nitapata.Mategemeo yanakuwa madogo sana kwa mimi kupata.Najuta kwanini nilishawishika kwenda kusoma digrii,ni bora ningeishia hata form six,nikaendelea na mambo yangu mengine badala yake nikaenda kusoma,mkopo ukasumbua,nikatumia nioichokusanya kujisomesha,tena kwa kuambiwa na baadhi ya marafiki zangu kua Bachelor of Education in Early childhood ina soko sana,nikimaliza tu napata ajira,kitu ambacho si kweli,kwani ni miaka 6 hadi sasa, niko mtaani najipambania lakini wapi.Namshukuru Mungu kwa hili, yawezekana ana mipango yake.All in all,nakubali matokeo.
Pole sana mkuu,nafeel maumivu Yako,Dunia haina huruma hii, SEMA haikuwa rizki yako wakat wako ukifika utapata rizki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu wa history na English wa kiume anione Pm awe na uwezo wa kufanya kazi Moro kilombero
 
Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan 😭😭😭😭
Kaka hizo habari kwa nchi hazina mashiko jiongeze fungua hata kijishule cha kufundisha watoto wadogo
 
Back
Top Bottom