Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Hongera sana mkuuNimepata mungu mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuuNimepata mungu mwema
Hongera sana kiongozi, ulilia sana aisee. Hatimae Mungu kakuona.Nimepata mungu mwema
Hongera senya kimamboNimepata mungu mwema
Ni mara ya ngapi hii kuombaNimepata mungu mwema
[emoji23][emoji23][emoji23]Hili haliwezi kuwa suruhu ya wewe kupata ajira,labda ombea wafe wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wawapeleke awali..
Hongera kwa wale wote waliopata,sisi wengine wa 2017 labda tusibiri nafasi zitakazotangazwa ambapo haijulikani ni mwaka huu au mwakani.Inasikitisha sana,siyo kwetu tu sisi waombaji bali inawasikitisha hata wale wategemezi wetu ambao wanatuonea huruma kwa tunavyohangaika kusaka pesa zetu na hizohizo kuwagawia wao.Mimi binafsi nimekata tamaa tena sana,sidhani hata hizo zitakazotangazwa,kama nitapata.Mategemeo yanakuwa madogo sana kwa mimi kupata.Najuta kwanini nilishawishika kwenda kusoma digrii,ni bora ningeishia hata form six,nikaendelea na mambo yangu mengine badala yake nikaenda kusoma,mkopo ukasumbua,nikatumia nioichokusanya kujisomesha,tena kwa kuambiwa na baadhi ya marafiki zangu kua Bachelor of Education in Early childhood ina soko sana,nikimaliza tu napata ajira,kitu ambacho si kweli,kwani ni miaka 6 hadi sasa, niko mtaani najipambania lakini wapi.Namshukuru Mungu kwa hili, yawezekana ana mipango yake.All in all,nakubali matokeo.
Pole sana mkuu,nafeel maumivu Yako,Dunia haina huruma hii, SEMA haikuwa rizki yako wakat wako ukifika utapata rizki tuHongera kwa wale wote waliopata,sisi wengine wa 2017 labda tusibiri nafasi zitakazotangazwa ambapo haijulikani ni mwaka huu au mwakani.Inasikitisha sana,siyo kwetu tu sisi waombaji bali inawasikitisha hata wale wategemezi wetu ambao wanatuonea huruma kwa tunavyohangaika kusaka pesa zetu na hizohizo kuwagawia wao.Mimi binafsi nimekata tamaa tena sana,sidhani hata hizo zitakazotangazwa,kama nitapata.Mategemeo yanakuwa madogo sana kwa mimi kupata.Najuta kwanini nilishawishika kwenda kusoma digrii,ni bora ningeishia hata form six,nikaendelea na mambo yangu mengine badala yake nikaenda kusoma,mkopo ukasumbua,nikatumia nioichokusanya kujisomesha,tena kwa kuambiwa na baadhi ya marafiki zangu kua Bachelor of Education in Early childhood ina soko sana,nikimaliza tu napata ajira,kitu ambacho si kweli,kwani ni miaka 6 hadi sasa, niko mtaani najipambania lakini wapi.Namshukuru Mungu kwa hili, yawezekana ana mipango yake.All in all,nakubali matokeo.
Posho halmashauri raia bado bawajalaMkeka wa ajira mpya za ualimu huo ndugu zangu
Mwalimu wa history na English wa kiume anione Pm awe na uwezo wa kufanya kazi Moro kilombero
Kaka hizo habari kwa nchi hazina mashiko jiongeze fungua hata kijishule cha kufundisha watoto wadogoHabarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan 😭😭😭😭