Ajira za ualimu na Afya

Ajira za ualimu na Afya

Elimu ya cheti haiwezi kufutwa kwakuwa ndilo chaka la serikali kujipatia umaarufu wa kisiasa kwamba inatoa ajira Kwa vijana na isitoshe huko ndiko inajipatia cheap labours wanaofanya kazi kubwa Kwa malipo kiduchu.
Hmmm! Sasa kwa wanafunzi hawa wa. Com sijui itakuwaje!

Ni kusema tu ,

Buriani Elimu Tz. !!
 
Sio kweli, hakuna walaka Bali kuna mtaala,walimu wa diploma in secondary watapaswa kupewa muda wa kujiendekeza nasio kushushwa,sasa wakishushwa na wamsingi wenye certificate watafanya nini au watawapeleka wapi!?
Wawapeleke awali..
 
Mkuu ,Mara nane ya ualimu means kama ana digrii ni 800,000 x 8 = 6,4000,000/= [emoji23][emoji23][emoji23] wadanganye watoto.

Harafu hapo hapo huyo mtu ukemuombea tena ualimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We Jamaa we we,Mungu anakuona
Nimesema mara nane according to take home ya ticha (degree mwenye mkopo)
So laki 5 na elfu 40

Alafu pia kama umesoma vizuri nimesema nilimuombea kiutani utani najua hapa akipata hawezi kwenda

Alafu umeshangaa saana kwa salary ya M6 ndugu yangu NGOs kuna watu wanalipwa mpaka M 13 au 17
Pia kuna baadhi ya authority hapahapa Tz watu wanakunja mpaka M5 na diploma zao (totally)
 
Nadhani awamu ya 5 imechangia sehemu kubwa kuwa na wahitimu wengi mtaani.

Awamu ya 6 yatakiwa iajiri angalau ajira 40000 kila mwaka ili mizania itimie
Kama hapo hizo nafasi 21 elfu wakiotuma naombi 170,000 alafu watu wanaona kawaida. Hahah. Time shall speak the pure truths.
 
Back
Top Bottom