Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanakimbilia kusoma education kwa sababu ya gharama yake ndogo ukilinganisha na programs zingine kama engineering, health programs n.k. ambavyo kwa mtanzania wa kawaida hawezi kumudu.
Wadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo wa Zamani wa kutuma maombi Wizarani.
kiukwel kwa xaxa walimu ni wengi xana especially wa maxomo ya arts ila science ndo bdo kunaupungufu sis huku kwetu shule moja ilikua na walimu wa field kama 40 hv ila science wa5 tu waliobak ni wa arts
unajua watu humu ndani wanajua kuzusha sana na ni wataalamu wa kujua mambo bila ya kuwa na uhakika juu ya kile wakisemacho hivyo mwenye akili atakuwa anajua nini cha kuchangia na nini cha kuacha na pia tusipende kupotoshana tuwe tunasubiri kauli au taarifa ambazo ni valid na sio za kuokoteza kama vile tuko vijiweni walimu wahitimu muwe na subira kwani kila mwaka humu jamii forum kuna taarifa za kuwakatisha tamaa juu ya ajira mara ajira sept mara december nk so subirini taarifa rasmi kutoka wizarani halafu pia muda bado kabisa ni mpaka mwakani mwezi wa pili au watatu so ikifika huo wakati mtaujua ukweli na sio hizi propaganda za hapa jamvini ambazo kila mtu anaongea chake kulingana na anavyojisikia nb wakweli wachache waongo wengi hivyo acheni kujipa pressure za bure pangeni maisha muda wa kujadili ajira za serekali bado!!!!
Wataajiliwa we ye GPA ya 2.7 na kuendelea,
Nb watapangwa ni walimu wa science/ math, English na business. Wa kiswz, hist na geo awam ya pili sep
Hasahasa wale wa arts ila watoto wa sayansi watapeta sanaWadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo wa Zamani wa kutuma maombi Wizarani.