Ajira za ualimu na sura mpya, nachoka kabisa

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo wa Zamani wa kutuma maombi Wizarani.
 
Wataajiliwa we ye GPA ya 2.7 na kuendelea,
Nb watapangwa ni walimu wa science/ math, English na business. Wa kiswz, hist na geo awam ya pili sep
 
Watu wanakimbilia kusoma education kwa sababu ya gharama yake ndogo ukilinganisha na programs zingine kama engineering, health programs n.k. ambavyo kwa mtanzania wa kawaida hawezi kumudu.
 
mwenye sifs za kusoma hizo kozi hawezi kuacha kwa sababu serikali inathamini sana kozi za sayansi, hata akiamua kwenda ualimu ataenda kufundisha masomo ya sayansi ambayo itachukua mda sana walimu wa masomo hayo kujitosheleza.
 
unajua watu humu ndani wanajua kuzusha sana na ni wataalamu wa kujua mambo bila ya kuwa na uhakika juu ya kile wakisemacho hivyo mwenye akili atakuwa anajua nini cha kuchangia na nini cha kuacha na pia tusipende kupotoshana tuwe tunasubiri kauli au taarifa ambazo ni valid na sio za kuokoteza kama vile tuko vijiweni walimu wahitimu muwe na subira kwani kila mwaka humu jamii forum kuna taarifa za kuwakatisha tamaa juu ya ajira mara ajira sept mara december nk so subirini taarifa rasmi kutoka wizarani halafu pia muda bado kabisa ni mpaka mwakani mwezi wa pili au watatu so ikifika huo wakati mtaujua ukweli na sio hizi propaganda za hapa jamvini ambazo kila mtu anaongea chake kulingana na anavyojisikia nb wakweli wachache waongo wengi hivyo acheni kujipa pressure za bure pangeni maisha muda wa kujadili ajira za serekali bado!!!!
 
Aaaaaha! Ts not true hata kidogo jaman punguzen kupotosha umma jaman duuuu......ni shidaaaaaaaaa
 
Eheeeee ukimaliza kusoma bachela unaenda kijijiniiii kulima ya ualimu yanatimiaaaa xx
Wadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo wa Zamani wa kutuma maombi Wizarani.
 
Ukija hapa jamvini njo na hoja yenye mashiko especial kuanzisha thread.jamani hii link ya kupashana habari.tusiigeuze kijiwe cha umbea. Nimefurahi yule aliyetoa taarifa na link ya matokeo ya drs la saba. Tumefungua tumeona watoto wetu.ualimuni kimbilio la wengi.vyuo viko kibiashara pia ndo maana vinaanzisha hizi kozi.mwisho wa siku ajira za ualimu zitajaa pia ingawa si miaka ya karibuni sana, lazima tujue hivyo.madomo ya science yanawagonga wengi lakini nahisi baadaye watajiunga na mamluki pia kufukuzia tonge.
 
Ajira bado Sana coz hata kupanga bado watu wanahangaikia mafungu
 
kiukwel kwa xaxa walimu ni wengi xana especially wa maxomo ya arts ila science ndo bdo kunaupungufu sis huku kwetu shule moja ilikua na walimu wa field kama 40 hv ila science wa5 tu waliobak ni wa arts
 
sasa mwalimu umeandika herufi gani hizo (xx)??? Na Umefanya jitihada gani kuzalisha wanafunzi watakaosomea masomo ya sayansi baadae? Au unataka watoke mbinguni?
 
unajua watu humu ndani wanajua kuzusha sana na ni wataalamu wa kujua mambo bila ya kuwa na uhakika juu ya kile wakisemacho hivyo mwenye akili atakuwa anajua nini cha kuchangia na nini cha kuacha na pia tusipende kupotoshana tuwe tunasubiri kauli au taarifa ambazo ni valid na sio za kuokoteza kama vile tuko vijiweni walimu wahitimu muwe na subira kwani kila mwaka humu jamii forum kuna taarifa za kuwakatisha tamaa juu ya ajira mara ajira sept mara december nk so subirini taarifa rasmi kutoka wizarani halafu pia muda bado kabisa ni mpaka mwakani mwezi wa pili au watatu so ikifika huo wakati mtaujua ukweli na sio hizi propaganda za hapa jamvini ambazo kila mtu anaongea chake kulingana na anavyojisikia nb wakweli wachache waongo wengi hivyo acheni kujipa pressure za bure pangeni maisha muda wa kujadili ajira za serekali bado!!!!

Lakin mkuu kuna naibu waziri wa kilimo alisema wazi wakati wa mahojiano siku ya tar. 31 asbhi katika television ya Star
 
Wataajiliwa we ye GPA ya 2.7 na kuendelea,
Nb watapangwa ni walimu wa science/ math, English na business. Wa kiswz, hist na geo awam ya pili sep

Hapo hakuna atakayebaki ktk vyuo vya private coz mwenye GPA ndogo huwa ana 3.5.
 
Wadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo wa Zamani wa kutuma maombi Wizarani.
Hasahasa wale wa arts ila watoto wa sayansi watapeta sana
 
Kikwete alishasema kwamba walimu hata wakiwa wengi watapelekwa hadi shule za msingi. Hivyo tusiogopeshane.
 
Wadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo wa Zamani wa kutuma maombi Wizarani.

DUH, tusubiri
 
bado ni fununu!!!
 
Back
Top Bottom