Ajira za utotoni zimekithiri Dodoma, Serikali iingilie kati

Kwaiyo nasahihi mtoto chini ya miaka 13 kumuona stend akifanya Kaz za ukondakta na upiga debe

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kuna mitaa fulani pale Dom ukikatiza usiku unakuta vitoto havina chuchu wala siti eti nao vinauza...!

Lakini nadhani yote ni dalili za ugumu wa maisha!
Ebwanaaa eeeh nipe location ya chimbo hilo😎
 
Mimi nadhani huko ndiko kuwafanya waje wawe majambazi! Elimu sahihi ndiyo njia nzuri inayoweza kuwakomboa. Hivyo vibarua vya muda vitaisha au havitakimu mahitaji yao halafu wataingia mitaani kufanya ujambazi na umalaya.
Mi nadhani kwa umri mdogo kushinda garage au migahawani ni bora kuliko kung'ang'ana na elimu ambayo baada ya kuhitimu atalazimika kurudi kufanya hizo kazi tena maana ajira hakuna wala mikopo ya kuwawezesha.

Huyo mtoto uliyemuona garage baada ya miaka 3 unauwezo wa kufumua na kuifuma injini ya landcruiser na akadaka mpunga wake.!
 
Tatizo kubwa tulilonalo Tanzania ni kwamba watu wengi wanaamini kuwa wanaenda shule ili kuajiriwa. Siwalaumu sana kwani hii ni mindset ambayo imejengeka siku nyingi kutokana na mfumo wetu wa elimu na maisha kwa ujumla. Ndiyo maana shule nyingi unakuta watu ''wanasomea mitihani'' kwa kukariri i.e. wanakariri ili waweze kupata maksi za juu kwenye mitihani. Bado mimi nasimamia kwenye dhana kwamba mtu akisoma elimu sahihi na akaelimika badala ya kukariri anakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kupambana na maisha kuliko mtu ambaye hajasoma au ameishia madarasa ya chini.
 
Upo sahihi, elimu ni nzuri na muhimu ila sio ya elimu yetu inayoongozwa na mawaziri zezeta wanawaza upigaji badala ya kuboresha mifumo ya elimu.

Juzi nilikua nawaza mwanangu akimaliza hii form four nimpeleke geleji akacheze na spana.
 
Upo sahihi, elimu ni nzuri na muhimu ila sio ya elimu yetu inayoongozwa na mawaziri zezeta wanawaza upigaji badala ya kuboresha mifumo ya elimu.

Juzi nilikua nawaza mwanangu akimaliza hii form four nimpeleke geleji akacheze na spana.
Mkuu unazan Nini kikifanyika basi kitaboresha elimu yetu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unazan Nini kikifanyika basi kitaboresha elimu yetu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Turudishe masomo ya msingi kama vilie kilimo, biashara, stadi za kazi na namna ya ufundishaji ubadilike.

Yaani mtu anaenda shule kuchukua ujuzi au utaalamu mahususi.
 
Umasikini ndio chanzo, waondolee umasikini ajira zitakoma
 
Mitaa ya chako huwa naenda mara nyingi tu, na huwa nakuta makahaba lakini hii ya vitoto sijawai waona au labda sijui kuangalia waliopo kazini!
 
Acha wafanye tu maana hili kabila linajulikana
 
Acha wafanye tu maana hili kabila linajulikana
Umepotea mumy! Kimfano bar maid wengi kwa mjini sio wenyeji ni watu kutoka mikoa mingine.

Hapa uzunguni meneja wa capital ni rafikiangu sana, anao wahudumu wa kike 13 kati yao ni 4 ndo wenyeji.

Ukiwa katikati ya mji wa dodoma wagogo ni wakutafuta. Wengi ni wageni' ila wanawake wa kigogo ni shida sana...mikia!!! Wamejaaliwa'
 
Ahh nilisahau! Kuna wasandawe pia, uwakute wale wenye macho ya panzi wembamba flan hivi...unamjua h.mobeto? Ewaa! Wapo kama vile.. achanga na wahaya, kuna warangi na wambulu na kila kichwa kina bei yake. Hapa mjini raha saana!!
 
Mkuu una hoja nzuri lakin umewakosea sana boda boda na machinga kwaingiza kwenye hayo makundi uliyozungumzia. Pengine umeajiriwa unalipwa mshahara mzur ila jua kwamba kuna boda boda na machinga wanawazidi kipato hata hao wasomi wa vyuo vikuu walioajiriwa rasmi,

Acha kudharau kazi za watu utakuja uliwe kiboga mjinga kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…