Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 394
- 720
- Thread starter
- #41
Kwaiyo nasahihi mtoto chini ya miaka 13 kumuona stend akifanya Kaz za ukondakta na upiga debeMimi napingana na wewe, serikali imeshindwa kupunguza umasikini na kutengeneza mifumo bora ya maisha kwa watu wake. Hao watoto wanafanya Kazi kwa sababu ya umasikini hawana wa kumtegemea sababu Hakuna mazingira wezeshi Ili wajimudu. Kwa hao wa magarage baadae ndio huwa mafundi wakubwa ikiwemo kuja kumiliki magarage na biashara za magari. Nani kakudanganya kwamba mfumo wa kwenda shule ndio jawabu la maisha.
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app