Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment yako inaonyesha upeo wako ulivyo. Watu kama ninyi akili zenu zinawatosha kuvuka barabara tu.Mkuu una hoja nzuri lakin umewakosea sana boda boda na machinga kwaingiza kwenye hayo makundi uliyozungumzia. Pengine umeajiriwa unalipwa mshahara mzur ila jua kwamba kuna boda boda na machinga wanawazidi kipato hata hao wasomi wa vyuo vikuu walioajiriwa rasmi,
Acha kudharau kazi za watu utakuja uliwe kiboga mjinga kabisa wewe.
On the job trainingUkienda kwenye garage vilevile unakuta vitoto vidogo dogo ndo vinapewa kazi ya kufungua nati
Lakini wanakuwa wamekosa haki Yao yakupata Elimu msingiOn the job training
Au kuwa panya roadAcha wafundishwe kazi usisubiri waje kuwa majambazi
SureAu kuwa panya road
kweli aisee itakuwa wamedumaa tu kwa kubebeshwa ndoo nzito za maji , kubeba magunia ya mkaa na kukosa lishe bora.Hao siyo watoto wadogo bali ni maumbile yao! Tayari walikwisha maliza elimu ya msingi na sasa wako on job training.
Kuna mitaa fulani pale Dom ukikatiza usiku unakuta vitoto havina chuchu wala siti eti nao vinauza...!
Lakini nadhani yote ni dalili za ugumu wa maisha!
Kizota mkuu!Mitaa gani hiyo mkuu leo nipite hapo