Mikel fantastic
Member
- Sep 5, 2022
- 15
- 22
Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini.
OK ipo hivi, mimi nimeangalia Sana matokeo yao ya mchujo yanavyotoka huwa wanaaanza kuchukuwa aliyefaulu zaidi, huu ni mfumo wa kizamani na uliojaa rushwa sana. Kama serikali ilipaswa iweke standard marks example 60/100 utakuwa listed katika oral hii itasaidia walau kutoka kutoka katika 35% ya ufaulu wasio na connection kuliko eti tunaanza kuchukuwa 80%,70%.
Hii ukweli ni kwamba kuna watu wanakuwa na paper before wakifanya hivo hakika viongozi watagundua vitu vingi sanaaa hii sector imejaa rushwa sana inaitaji uangalizi wa hali ya juu.