Pepa huwa zinatoka, nilienda interview taasis fulani (chuo na hosiutal )nikakutana na majority of the applicants ni product ya pale, wanajuana na ma PS na pia ma interviewer, maana ndo wameishi nao kwa miaka zaidi ya 5, so ni kana walipewa pepa before maana walikuwa busy wanajusomea
1/. What is reseearch
2. Ethical ussues to considers before research
3. What is cancer
4/ what are the five kingdoms of organism?
Sasa mi na jamaa yangu (from diffeent taasis) tukawa tunashangaa, vip hawa unajisomeaje interview? Basi tukawa busy tu kupiga story za zamani from A-level to University
Baba mda wa written ukafika, madude yote yalikuwemo, na mengine yakawepo kwente oral
Ila kwa kuwa unyama mwingi tulikuwa nao, ile pepa niliifumua sana, niliongoza both oral and written. God is great.
Kwahiyo la pepa kuvuja lipo hasa mnapokuwa na watoto wa wakubwa katk interview.