herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,369
Utaweza kujibu maswali kweli ndugu, wenyewe utumishi wako humu lakini wanashindwa kutujibu maswali yetu.Kiukweli sijakuelewa. Nashindwa kujua, Mimi ndio mgumu kuelewa au wewe ndio haueleweki. Hebu twende taratibu, alaf andika kwa vituo na mpangilio ili kuweka urahisi wa maandishi yako kueleweka.
Weka hoja zako kwa mpangilio, kuanzia ya Kwanza hadi ya mwisho. Na Mimi nitakujibu kwa mpangilio huo pia.
kama mdau.naunga mkono hojaKwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini.
OK ipo hivi mimi nimeangalia Sana matokeo yao ya mchujo yanavyotoka huwa wanaaanza kuchukuwa aliyefaulu zaidi, huu ni mfumo wa kizamani na uliojaa rushwa sana. Kama serikali ilipaswa iweke standard marks example 60/100 utakuwa listed katika oral hii itasaidia walau kutoka kutoka katika 35% ya ufaulu wasio na connection kuliko eti tunaanza kuchukuwa 80%,70%.
Hii ukweli ni kwamba kuna watu wanakuwa na paper before wakifanya hivo hakika viongozi watagundua vitu vingi sanaaa hii sector imejaa rushwa sana inaitaji uangalizi wa hali ya juu.
Tofautisha kati ya account ya utumishi na watu wa utumishi. Weka maswali yako, wanaofanya kazi utumishi ni watu kama weweUtaweza kujibu maswali kweli ndugu, wenyewe utumishi wako humu lakini wanashindwa kutujibu maswali yetu.
Sasa wanaulizwa wanashindwa kujibu. Watu kama hawa wanawezaje kuaminika kwa uma vitu vya msingi tu wanashindwa kutolea maelezo yakueleweka.Tofautisha kati ya account ya utumishi na watu wa utumishi. Weka maswali yako, wanaofanya kazi utumishi ni watu kama wewe
Huo in ubinafsi usiokuwa na maana unawezaje sema usumbufu kwa idadi ya waombaji wa ajira? Daaaaah inasikitisha sanaaSpecificaly kwenye marks mimi naon utumishi wako sawa haiwezeken nafasi moja halafu 50 to above mko 200 wote muitwe oral inakua ni usumbufu, ndio mana ukienda kwenye written inabd ujipinde upate alama nyingi ili ujihakikishie ubingwa na wew!
Unavyosema kanuni Leo hii wasingebadili kwa tutorial kutoka GPA ya 3.5 and above mpaka kutoa uamuzi wa aliye na degree anaruhusiwa kuomba. Mm hapa naongelea equality na siyo ubinafsi elewaSoma kitu kinaitwa 'Kanuni za Uendeshaji wa sekretarieti ya ajira'
Ume elewa kile nilicho ongea namaanisha nin?Sasa wanaulizwa wanashindwa kujibu. Watu kama hawa wanawezaje kuaminika kwa uma vitu vya msingi tu wanashindwa kutolea maelezo yakueleweka.
Msidanganyane na makaratasi au PDF zilizotolewa miongozo mm naongelea changes according to the weakness of the system wew upo static unashikiria muongozo muongozo ebu elewa nilicho ulizaKwenye website ya utumishi ipo hiyo pdf
Hakuna ubinafsi hapo ni utumishi wameweka muongozo mzuri kuhusiana na namna ya watu watakavyokuwa shortlisted kwenda oral, kama ikitokea wengi wao wame score 50 to above kuna ratio itatumika kulingana na hitajio la nafasi inayotakiwa kuzibwa sasa hapo ubinafsi unatokea wap??Huo in ubinafsi usiokuwa na maana unawezaje sema usumbufu kwa idadi ya waombaji wa ajira? Daaaaah inasikitisha sanaa
Pambana kumuelewesha, mimi sitii neno naona kuna dalili ya jamaa kuwa kajiandaa kutoelewaHakuna ubinafsi hapo ni utumishi wameweka muongozo mzuri kuhusiana na namna ya watu watakavyokuwa shortlisted kwenda oral, kama ikitokea wengi wao wame score 50 to above kuna ratio itatumika kulingana na hitajio la nafasi inayotakiwa kuzibwa sasa hapo ubinafsi unatokea wap??
Cut point au passMark inawekwa kulingana na Matokeo. Kwa kujibu wa hii reply yako kama nimekuelewa vizuri ni kuwa una maanisha PSRS wanaweka cutpoint wakati bado Matokeo hayajulikani au hayajatoka..ikiwekwa standard mark ya 60 na ikatokea haikufikiwa?
Ungekuwa karibu ningekuwamba Kofi so iyo system wew unaiona better? And there is no any weakness?Hakuna ubinafsi hapo ni utumishi wameweka muongozo mzuri kuhusiana na namna ya watu watakavyokuwa shortlisted kwenda oral, kama ikitokea wengi wao wame score 50 to above kuna ratio itatumika kulingana na hitajio la nafasi inayotakiwa kuzibwa sasa hapo ubinafsi unatokea wap??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukiwa jobless unakuwa na makasiriko mengi sanaa..Mungu atusaidie tuu kwa kweli.Ungekuwa karibu ningekuwamba Kofi so iyo system wew unaiona better? And there is no any weakness?
Topic is not about jobless topic is about to remove the weakness and to make improvement sasa izo za jobless ayo ni majivuno tu arafu humjui exactly nani unayejivunia kwake so be normal and stay low key focus direct to the topic[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukiwa jobless unakuwa na makasiriko mengi sanaa..Mungu atusaidie tuu kwa kweli.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mi nafikiri serikali ingerudi tu utaratibu wa miaka ya 1980's, ukimaliza tu chuo, unapewa barua ya kuripoti kazini, unaonaje hili?Topic is not about jobless topic is about to remove the weakness and to make improvement sasa izo za jobless ayo ni majivuno tu arafu humjui exactly nani unayejivunia kwake so be normal and stay low key focus direct to the topic
Hill halowezi kutokea kutokana na idadi ya wasomi kuongezeka tofauti na zama hizo na hapa tuangalie zaidi kubusu Ku improve mfumo uliopo sasa kwa kusogea mbele na siyo kurudi nyuma mfano mfumo wa ajira wa online recruitment portal ulikuja kuondoa vitu vingi katika beginning stage ya waombaji hajira, mm mada yangu ni ndogo tu kama walivyofanya kwwnye GPA ya tutorial kutoka 3.5 up to 2.0 so kwenye mfumo waweke standard marks haijalishi wata qualify wangapi as long wote ni waombaji na wanahaki mm nakupa mfano mdogo unakumbuka mtihani uliovuja wa tra ukatumwa huku jamii forums ila watu wanajifanya hawajui ile ni bahati tu sasa ulijue kabisa ipo ambayo hutoiona humu wala kokote na ndo watu sana score 98 unakuja kusema uwezo wake binafsi unamuacha MTU aliye score 63 kwa kuanza kuchukuwa eti aliye fail zaidi hapo ndipo tatizo huanzia na wakiweka mfumo wa standard na ukasimamiwa vizur kwenye oral utaona madudu mengi MTU aliyepata 99 anashindwa kuelezea kitu ambacho alikijibu siku mbili nyuma akapata 99 sijui kama mnanielewa vizuri ninachosemaMi nafikiri serikali ingerudi tu utaratibu wa miaka ya 1980's, ukimaliza tu chuo, unapewa barua ya kuripoti kazini, unaonaje hili?
Nilitegemea utakuja na jibu kama hili.Hill halowezi kutokea kutokana na idadi ya wasomi kuongezeka tofauti na zama hizo na hapa tuangalie zaidi kubusu Ku improve mfumo uliopo sasa kwa kusogea mbele na siyo kurudi nyuma mfano mfumo wa ajira wa online recruitment portal ulikuja kuondoa vitu vingi katika beginning stage ya waombaji hajira, mm mada yangu ni ndogo tu kama walivyofanya kwwnye GPA ya tutorial kutoka 3.5 up to 2.0 so kwenye mfumo waweke standard marks haijalishi wata qualify wangapi as long wote ni waombaji na wanahaki mm nakupa mfano mdogo unakumbuka mtihani uliovuja wa tra ukatumwa huku jamii forums ila watu wanajifanya hawajui ile ni bahati tu sasa ulijue kabisa ipo ambayo hutoiona humu wala kokote na ndo watu sana score 98 unakuja kusema uwezo wake binafsi unamuacha MTU aliye score 63 kwa kuanza kuchukuwa eti aliye fail zaidi hapo ndipo tatizo huanzia na wakiweka mfumo wa standard na ukasimamiwa vizur kwenye oral utaona madudu mengi MTU aliyepata 99 anashindwa kuelezea kitu ambacho alikijibu siku mbili nyuma akapata 99 sijui kama mnanielewa vizuri ninachosema
Hii haipo, bado gpa katika kada ya tutorial ipo juu, ni 3.5gpa +.mm mada yangu ni ndogo tu kama walivyofanya kwwnye GPA ya tutorial kutoka 3.5 up to 2.0
Tupe namna nzuri ya kutekeleza hili, mathalani standard marks ikawa 50%, post iko 1, candidate 80 wamescore 50%+kwenye mfumo waweke standard marks haijalishi wata qualify wangapi as long wote ni waombaji na wanahaki
Nafikiri hoja ya kuvuja mitihani ina sababu zake, inaweza kuwa ni kuwepo kwa baadhi ya watumishi wasio waaminifu,hivyo kuvujisha. Pili, hofu dhidi ya ushindani kulingana na idadi ya wahitimu nanuchache wa nafasi, hivyo, baadhi ya candidate kufanya kila namna kupata hizo mambo, kuingeza uwezekano wa kushinda.mm nakupa mfano mdogo unakumbuka mtihani uliovuja wa tra ukatumwa huku jamii forums ila watu wanajifanya hawajui ile ni bahati tu sasa ulijue kabisa ipo ambayo hutoiona humu wala kokote na ndo watu sana score 98 unakuja kusema uwezo wake binafsi unamuacha MTU aliye score 63
Oky mkuu,kila la kheri. I'm out of here.Msidanganyane na makaratasi au PDF zilizotolewa miongozo mm naongelea changes according to the weakness of the system wew upo static unashikiria muongozo muongozo ebu elewa nilicho uliza