Mkuu unachanganya kiswa-english halafu KISWAHILI hujui.. eti arafu..!!! Tumia lugha moja basi uelewekeTopic is not about jobless topic is about to remove the weakness and to make improvement sasa izo za jobless ayo ni majivuno tu arafu humjui exactly nani unayejivunia kwake so be normal and stay low key focus direct to the topic
Punguza makasiriko weka hoja mezani utumishi wana weakness zao katika recruitment process na wanahitaji maoni kama hayo hilo halipingiki ila katika suala la alama kwa namna flan naona wako sawa wame set benchmark ya kufaulu na hilo linafanyika.wenzio wana calls for oral interview hadi nne.....jitahid upambane upate na wew kuna mambo tupunguze lawama tupambane kulalamika sana hakutokusaidia,,,. Pia nayaheshimu mawazo yako na huu ni mtizamo wangu mimUngekuwa karibu ningekuwamba Kofi so iyo system wew unaiona better? And there is no any weakness?
Kipanga ulikuwa unawazoom I like you confidence.Pepa huwa zinatoka, nilienda interview taasis fulani (chuo na hosiutal )nikakutana na majority of the applicants ni product ya pale, wanajuana na ma PS na pia ma interviewer, maana ndo wameishi nao kwa miaka zaidi ya 5, so ni kana walipewa pepa before maana walikuwa busy wanajusomea
1/. What is reseearch
2. Ethical ussues to considers before research
3. What is cancer
4/ what are the five kingdoms of organism?
Sasa mi na jamaa yangu (from diffeent taasis) tukawa tunashangaa, vip hawa unajisomeaje interview? Basi tukawa busy tu kupiga story za zamani from A-level to University
Baba mda wa written ukafika, madude yote yalikuwemo, na mengine yakawepo kwente oral
Ila kwa kuwa unyama mwingi tulikuwa nao, ile pepa niliifumua sana, niliongoza both oral and written. God is great.
Kwahiyo la pepa kuvuja lipo hasa mnapokuwa na watoto wa wakubwa katk interview.
Unaongea uongo mtupu ili tu uonekane mjuaji kupiga 95 au 85 ndo nini yaan topic about standardization wew unaongea kubusu kupiga 95 au 85 kwanza mpka hapo tu Ku reflect mada unashindwa utaweza kupata 95Nilipoacha kuamini kama wewe ndipo nilipoanza kubamiza 85 hadi 95 mitihani ya utumishi. Badilisha mindset yako boss.
Mkuu ulijuaje kama umeongoza oral,kwani huwa wanatoa marks za oral kweli?? Usitupige chai bila sukari hapa😃Pepa huwa zinatoka, nilienda interview taasis fulani (chuo na hosiutal )nikakutana na majority of the applicants ni product ya pale, wanajuana na ma PS na pia ma interviewer, maana ndo wameishi nao kwa miaka zaidi ya 5, so ni kana walipewa pepa before maana walikuwa busy wanajusomea
1/. What is reseearch
2. Ethical ussues to considers before research
3. What is cancer
4/ what are the five kingdoms of organism?
Sasa mi na jamaa yangu (from diffeent taasis) tukawa tunashangaa, vip hawa unajisomeaje interview? Basi tukawa busy tu kupiga story za zamani from A-level to University
Baba mda wa written ukafika, madude yote yalikuwemo, na mengine yakawepo kwente oral
Ila kwa kuwa unyama mwingi tulikuwa nao, ile pepa niliifumua sana, niliongoza both oral and written. God is great.
Kwahiyo la pepa kuvuja lipo hasa mnapokuwa na watoto wa wakubwa katk interview.
Mkuu ulijuaje kama umeongoza oral,kwani huwa wanatoa marks za oral kweli?? Usitupige chai bila sukari hapa[emoji2]