ms babysitter
Member
- Nov 2, 2014
- 55
- 5
Jibu lako limenipa moyo sana naomba iwe hivyo kweli mimi hapa ni non graduant wa SAUTWatakupokea ila utaandika barua kwa mwajiri wako kuomba ukachomoe supp yako as soon as possible!
Jibu lako limenipa moyo sana naomba iwe hivyo kweli mimi hapa ni non graduant wa SAUT

nani kakushika? Sijjo au Katigula?
Hao wote hawajanishika nimeshikwa course ya philosophy
Watakupokea ila utaandika barua kwa mwajiri wako kuomba ukachomoe supp yako as soon as possible!
nani kakushika? Sijjo au Katigula?
Hao wote hawajanishika nimeshikwa course ya philosophy
Jibu lako limenipa moyo sana naomba iwe hivyo kweli mimi hapa ni non graduant wa SAUT
Jibu lako limenipa moyo sana naomba iwe hivyo kweli mimi hapa ni non graduant wa SAUT
Ajira mwaka huu kweli zipo?
Walograduate wanawasiwasi,
sasa siwapatii picha wenye Supp!
Hao wote hawajanishika nimeshikwa course ya philosophy
Jamani kumbe hata SAUT kinashika, tatizo chuo au wanafunzi! maajabu haya.
Habarini wadau.
Naomba kuuliza kama mtu una supplementary au carryover na ulitakiwa kumaliza chuo mwaka jana (degree) je unaweza kuajiliwa kwenye ajira mpya za walimu zijazo na halmashauri ikakupokea?
Naomba mnijuze jamani.