Ajira za uwalimu kwa Non-graduate, naomba kufahamu

Ajira za uwalimu kwa Non-graduate, naomba kufahamu

ms babysitter

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Habarini wadau.

Naomba kuuliza kama mtu una supplementary au carryover na ulitakiwa kumaliza chuo mwaka jana (degree) je unaweza kuajiliwa kwenye ajira mpya za walimu zijazo na halmashauri ikakupokea?

Naomba mnijuze jamani.
 
Watakupokea ila utaandika barua kwa mwajiri wako kuomba ukachomoe supp yako as soon as possible!
 
Jibu lako limenipa moyo sana naomba iwe hivyo kweli mimi hapa ni non graduant wa SAUT

Nina mdogo wangu alihitimu UDOM BAE ila alipata supplimentary,ajira zilipotoka akapangwa Hanang Katesh Sec. alifundisha kidogo kisha akaomba wenda kuchomoa Supp. kwa kuwa Dom ana Hanang si mbali that much alikuwa anaripoti chuoni mara mbili kwa wiki till amachomoa Supp yake na maisha yanaendelea!
 
Hao wote hawajanishika nimeshikwa course ya philosophy

Pole Sana Mkuu Angekuwepo Kipenzi Chetu Dr. Aidan Msafiri Nadhani Usingekamatwa. BAMC Wote Wa 2006 Hadi 2009 Hatutamsahau Na Kila Nisikiapo Mtu Anataja Eneo La Kishimundu Huwa Nacheka Na Namkumbuka Sana Mwalimu Wangu Wa Philosophy Dr. Msafiri Aidan Kwani Alikuwa Akiwakandia Mno Wachagga Watokao Eneo Hilo Kuwa Ni Mambwiga Watupu ( Washamba ).
 
Jibu lako limenipa moyo sana naomba iwe hivyo kweli mimi hapa ni non graduant wa SAUT

Ulivyotaja Tu SAUT Mkuu Umenikumbusha Sana Ile Hostel Yetu Ya Darfur Na Nimemkumbuka Mno Yule Mwangalizi Wa Hiyo Hostel Aitwae Kaka Zawadi. Aliyeibatiza Jina Hilo La Darfur Hiyo Hostel Hakukosea Kwani Ni Darfur Kweli. Long Live SAUT And I Love SAUT......... " We Build The City Of God ".
 
Jamani kumbe hata SAUT kinashika, tatizo chuo au wanafunzi! maajabu haya.
 
Habarini wadau.

Naomba kuuliza kama mtu una supplementary au carryover na ulitakiwa kumaliza chuo mwaka jana (degree) je unaweza kuajiliwa kwenye ajira mpya za walimu zijazo na halmashauri ikakupokea?

Naomba mnijuze jamani.

degree lazima uajiliwe coz chuoni kwetu kuna watu waka juzi walifukuzwa semista ya sita mwanzoni bt walipata ajira na pia kuna rafiki zangu wengi tu walikua na sup na carry bt walipata ajira bt kwa diploma ukiwa na kimeo imekula kwako
 
Habarini wadau.

Naomba kuuliza kama mtu una supplementary au carryover na ulitakiwa kumaliza chuo mwaka jana (degree) je unaweza kuajiliwa kwenye ajira mpya za walimu zijazo na halmashauri ikakupokea?

Naomba mnijuze jamani.

Mbona hii ngeni? Ninavyojua mimi ukishindwa kusapua unacarry. Rekebisha kiswahili kidogo na ueleweke kuwa hukugraduate kwa sababu ulishindwa kuchomoa. Sisi udsm tulimaliza semester ya mwisho na supp but tulirudi kusapua na tukagraduate. Sasa eleweka kuwa hakuna anayeshindwa kuhitimu kwa supplimentary bali ni carry over
 
Back
Top Bottom