Ajira za walimu 2013/2014 zasitishwa.

waalimu naona wamekuwa kimya tu.. wanapigwa pigwa kama mpira wa danadana!

hivi hamuwezi kutoa tamko lenu kama waalimu?

kwaniini hamuongei kupitia umoja wenu wa waalimu?

wake up teachers... you are the nation.. you are TANZANIA!!
 



Sasa muda wowote pesa itapatikana,sindio hadi mwakani sasa
 
Ajira ztatoka mwaka huu,,hata kama ni kwakuchelewa..mayb kama ww ni mshauri mkuu wa serikali umewaambia wafanye hvyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…