Tamisemi bwana au ajira tayari wamechelewa kuzitupia hewani tu
Daaaah mipango inaharibika mpaka mpnz wangu haniamin anazani mm nilifeli chuo
Mpenzi wangu baada ya kuona matangazo Tamisemi ndokaniamini
Mpenzi wangu baada ya kuona matangazo Tamisemi ndokaniamini
Hahaha.... Nahisi ni hivyo asee
Wale walim wa ART hamkustahil hata kusubir,serkal yenyewe ilisha sema wametosha,inaajir walim wa sayans,nao hela hamna!