Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

Mpenzi wangu baada ya kuona matangazo Tamisemi ndokaniamini
 
ila ukiisha mwezi uu wakiwa awajatoa majina kweli ajira zitakua akuna maana uongozi wa nchi hii aueleweki kila sekta
 
Walim mnapenda kulalamika mnatuaibisha,kada nying hawajaajiriwa lakin hawajalalamika hiv c walim tukoje? c tusubir?
 
shule za bwen zimefunga chakula hamna,daftar la wapiga kula limesitishwa hela hakuna,wafanyakaz hawajalipwa malmbikizo!!
 
Wale walim wa ART hamkustahil hata kusubir,serkal yenyewe ilisha sema wametosha,inaajir walim wa sayans,nao hela hamna!
 
ila sio mbaya zitatoka tu leo tutumie nauri tulizoandaa maana ata watu wa TAMISEMI wapo vijijini kwao wakirudi watatujuz
 
Back
Top Bottom