Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

Walimu unganeni mtafute kiwanja then muende bank kuchukua mkopo mfungue shule yenu na mpigishe kitabu watoto wetu. Hilo ni wazo langu na ninatumaini mkilifanyia kazi mtafanikiwa katika maisha na kuacha kuililia serikali isiyokuwa sikivu kwa watu wake!!!

Hili wazo linanishawishi kinoma,ila nina imani ajira zipo hivyo si rahisi kulifanyia kazi.
 
Mliambiwa walimu wanatosha mashuleni, sayansi ndo watapata ajira baadae sana sababu pesa haitoshi kuwalipa mishahara mpaka kufikia mwaka wa fedha 2015/16.

UTATA NOMA!!

jamani achen kuibua hoja ambazo hazina uthibitisho wa kutosha!




kwa habari ya ajira kumekuwa na maneno mengi mpaka kero kwa wasomaji,
hivyo yatupasa kuvumilia mpaka wahusika watoe tamko japo inauma ila....
 

Attachments

  • IMG00001.jpg
    IMG00001.jpg
    34 KB · Views: 106
Back
Top Bottom