Pongezi za dhati kwa wauguzi wa hospitali ya Tamisemi iliyoko mjini Dodoma kwakunipa tiba iliyosahihi sana juu ya fikra zangu za ugumu wa maisha,,pia kwakutibu maradhi ya majungu kutoka kwa raia waliokua wakiniteta vibaya eti nimemaliza chuo lakini nipo nyumbani!! Hongereni sana wauguzi kutoka Tamisemi.
Vile vile hongera sana Dactari wangu bingwa ulieee weza kutibu gonjwa langu lililokuaaa likinisumbuaa kwa mda wa mwaka mzima katibu mkuu Tamisemi pongezi nakupatiaaa kwakuwaziba midomo wale vizabezabe waliokuaaa nitaiagaduni sasa umewakomesha kwani ndio umenijenga kisaikolojia hakika tatehe 25 ndipo nitakapo wadhihirishiaaa kuwa naenda kulitumikiaa taifa ilikuleta maeendeleooo.
Walisema sana etii tunaliliaa ajira hooo eti tufanyeee mishe zingineee na mwaka huu hakuna ajiraaa lakini jana imedhihirika kuwa walimu bado watabaki kuwaa mhimili ktk taifa hili daima.
Walimu tarajali hizo ni baadhi tu ya ishara kuwa nimefurahi kupatiwa tiba sahihi ya gonjwa lililokua likinikabili...Mungu ibariki Tanzania,mungu wabariki walimu.
Amen