Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 199
Ila kauli ya kusema kipaumbele ni shule za VIJIJINI, duuu, kaniboa sna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshara wangu wakwanza nanunua smart phone
Walimu wa ngazi ya cheti ni 11,795 wakati diploma ni 6,596 na degree ni 12,665 kwa habari zaidi tembelea link hii hapa chini
http://m.habarileo.co.tz/images/Jumanne-Saaginii.jpg
hizo hadithi kaka ila watu lazima watimbe mjini tena ktkt ya jiji la sadik m. Sadik
Mshara wangu wakwanza nanunua smart phone
umenipa moyo kishenzi
Aah,niulize wakuu hivi dar kuna vijiji vyenye uhaba wa walimu?na vip nauli inatolewaj?yaan vigezo gan wanaangalia,maana hapa nataka nikope kabisa