Ajira za walimu tarehe 1 May 2015

Ajira za walimu tarehe 1 May 2015

Status
Not open for further replies.
Pongezi za dhati kwa wauguzi wa hospitali ya Tamisemi iliyoko mjini Dodoma kwakunipa tiba iliyosahihi sana juu ya fikra zangu za ugumu wa maisha,,pia kwakutibu maradhi ya majungu kutoka kwa raia waliokua wakiniteta vibaya eti nimemaliza chuo lakini nipo nyumbani!! Hongereni sana wauguzi kutoka Tamisemi.

Vile vile hongera sana Dactari wangu bingwa ulieee weza kutibu gonjwa langu lililokuaaa likinisumbuaa kwa mda wa mwaka mzima katibu mkuu Tamisemi pongezi nakupatiaaa kwakuwaziba midomo wale vizabezabe waliokuaaa nitaiagaduni sasa umewakomesha kwani ndio umenijenga kisaikolojia hakika tatehe 25 ndipo nitakapo wadhihirishiaaa kuwa naenda kulitumikiaa taifa ilikuleta maeendeleooo.


Walisema sana etii tunaliliaa ajira hooo eti tufanyeee mishe zingineee na mwaka huu hakuna ajiraaa lakini jana imedhihirika kuwa walimu bado watabaki kuwaa mhimili ktk taifa hili daima.

Walimu tarajali hizo ni baadhi tu ya ishara kuwa nimefurahi kupatiwa tiba sahihi ya gonjwa lililokua likinikabili...Mungu ibariki Tanzania,mungu wabariki walimu.

Amen
 
Yaaaaaan aliyewaletea tangazo muwe mnaangalia na muda ! Nyie mnakurupuka sana hapa inaonyesha huwa hamuangalii taarifa ya habari
 
itakuwa vizuri sana wakapo pangiwa vijiji walimu wengi kwa sababu vijiji vingi awana walimu wakutosha
 
Aah,niulize wakuu hivi dar kuna vijiji vyenye uhaba wa walimu?na vip nauli inatolewaj?yaan vigezo gan wanaangalia,maana hapa nataka nikope kabisa
 
Ongera chichmz kwakutokata tamaa, umeanzsha threadz nyng zkafutwa na matusi juu, bt leo wamebaki midomo waz. big up mwalimu!
 
Yaaaaaan aliyewaletea tangazo muwe mnaangalia na muda aliopost thread hapa ! Nyie mnakurupuka sana hapa inaonyesha huwa hamuangalii taarifa ya habari .kubwa zaid walimu mjitegemee na sio kuamka na kuwaza ajira mfano mie kitaa huku napiga hela ndogo ndogo sichagui kazi ? Ila tambua elimu ya mtaa ni zaid ya degree yako kazi kuwachezesha watu na kuwa kama simba windo moja tuuu umepata mlo
 
Walimu wa ngazi ya cheti ni 11,795 wakati diploma ni 6,596 na degree ni 12,665 kwa habari zaidi tembelea link hii hapa chini

http://m.habarileo.co.tz/images/Jumanne-Saaginii.jpg

Baaaada ya kukazana kupiga dili nyingine wewe unakazana kusoma magazeti utasoma magazeti yote mpaka yaishe ? Nan alikuambia ukasome masomo ya ualimu ? Think big wewe umesoma ila haueleweki jitegemee kijana matamko kila siku
 
Haya zile habari za wataalam wa maabara zimeishia wapi?
Maana watu walishatengeneza takwimu zao kwamba mwaka huu walimu wataajiriwa 24000
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom