Ushauri kwenu walimu , kwakua mshahara wenu nikidogo..wekezeni katika ufugaji,kilimo, na biashara zisizoharibika kirahisi kama vile biashara za viatu open shoes n.k pia msisahau mitihani ya kulipia, na twisheni mbalimbali.
mkifanya haya yatawafaa zaidi pia mtakuwa mmewasaidia ndugu zenu wengine wasio na ajira.NADHANI mmeona machungu yakukaa mtaani kwahiyo msiwatenge wasiojiweza au NDUGU ZENU WASIO NA AJIRA.
Nawaomba pia mpendane ,mtembeleane na muwe tayari kubadishana vituo kama itabidi.
Wenu baba ushauri wa 0712860468.msilipize visasi kwa walio wanyanyasa .MUNGU AWALINDE KWANI ualimu nikazi ya manabii na mitume wa MUNGU. Msisahau kuwapenda wanafunzi,kuwaimbisha,nakuwajali walemavu wa aina zote. Pia muwe wema sana HILI LITawafanya mkumbuke kuwa kunakifo. msiyadharau maziwa kwani vumbi la chaki huleta kohozi kali.
Pia myatumie mafunzo yenu yakijeshi ipasavyo ili MUONESHE Ukakamavu na uhodari kazini kuliko WALIMU WENGINE.