Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmh! Kaka kuwa mkweli tu, ni mdogo wako au wewe mwenyewe?
Mkuu namshukuru Mungu nilimaliza shule kitambo & nimeajiriwa. Sina haja ya kukudanganya wewe, sidhani km kuna faida hapo. Mmoja wa wadogo zangu wa kike alimaliza St. Agrey TC last yr, na anasubiri ajira hizo. Umenielewa sasa.[/QU
huyo dogo yupo jf?
Mkuu namshukuru Mungu nilimaliza shule kitambo & nimeajiriwa. Sina haja ya kukudanganya wewe, sidhani km kuna faida hapo. Mmoja wa wadogo zangu wa kike alimaliza St. Agrey TC last yr, na anasubiri ajira hizo. Umenielewa sasa.

Sawa shemeji
karibuni vijana mtupokee vipindi...
taarafa gani hiyo?watuletee na huku mpakani mwa burundi walimu wa kike tuoe maana duu tarafa nzima madume tupu tunangoja kwa hamu sana afadhali wametangaza labda neema itatushukia.