Ajira za walimu tarehe 1 May 2015

Ajira za walimu tarehe 1 May 2015

Status
Not open for further replies.
Kim nana upo pande za wapi“
Mwambie yule mdogo wako kaliona tangazo
Ajiandae kwenda mafia
 
mmmmh! Kaka kuwa mkweli tu, ni mdogo wako au wewe mwenyewe?

Mkuu namshukuru Mungu nilimaliza shule kitambo & nimeajiriwa. Sina haja ya kukudanganya wewe, sidhani km kuna faida hapo. Mmoja wa wadogo zangu wa kike alimaliza St. Agrey TC last yr, na anasubiri ajira hizo. Umenielewa sasa.
 
Mkuu namshukuru Mungu nilimaliza shule kitambo & nimeajiriwa. Sina haja ya kukudanganya wewe, sidhani km kuna faida hapo. Mmoja wa wadogo zangu wa kike alimaliza St. Agrey TC last yr, na anasubiri ajira hizo. Umenielewa sasa.[/QU

huyo dogo yupo jf?
 
Mkuu namshukuru Mungu nilimaliza shule kitambo & nimeajiriwa. Sina haja ya kukudanganya wewe, sidhani km kuna faida hapo. Mmoja wa wadogo zangu wa kike alimaliza St. Agrey TC last yr, na anasubiri ajira hizo. Umenielewa sasa.

Sawa shemeji
 
Sawa shemeji

mh!!?! wewe c ulisema unasubir post na ulidai unalima mbogamboga huko kwenu? unakumbuka zile comments zako unasema kuwa ajira mwak huu hakuna nikakuuliza je zikitoka utajiskiaje kwa kukatisha wenzio tamaa na kuwavunja moyo? ukajibu nn?
 
Wakuu naomba mnifahamishe kulikuwa kuna uvumi kwamba bila ya kwenda JKT hakuna ajira jambo limekaaje wakuu naomba msaada ktk hili?
 
Watuletee na huku mpakani mwa burundi walimu wa kike tuoe maana duu tarafa nzima madume tupu tunangoja kwa hamu sana afadhali wametangaza labda neema itatushukia.
 
Ushauri kwenu walimu , kwakua mshahara wenu nikidogo..wekezeni katika ufugaji,kilimo, na biashara zisizoharibika kirahisi kama vile biashara za viatu open shoes n.k pia msisahau mitihani ya kulipia, na twisheni mbalimbali.

mkifanya haya yatawafaa zaidi pia mtakuwa mmewasaidia ndugu zenu wengine wasio na ajira.NADHANI mmeona machungu yakukaa mtaani kwahiyo msiwatenge wasiojiweza au NDUGU ZENU WASIO NA AJIRA.

Nawaomba pia mpendane ,mtembeleane na muwe tayari kubadishana vituo kama itabidi.

Wenu baba ushauri wa 0712860468.msilipize visasi kwa walio wanyanyasa .MUNGU AWALINDE KWANI ualimu nikazi ya manabii na mitume wa MUNGU. Msisahau kuwapenda wanafunzi,kuwaimbisha,nakuwajali walemavu wa aina zote. Pia muwe wema sana HILI LITawafanya mkumbuke kuwa kunakifo. msiyadharau maziwa kwani vumbi la chaki huleta kohozi kali.

Pia myatumie mafunzo yenu yakijeshi ipasavyo ili MUONESHE Ukakamavu na uhodari kazini kuliko WALIMU WENGINE.
 
Ha ha ha karibuni buhigwe kigoma ila kumbukeni kuwa unaweza ukakaa miezi 3 bila mshara kwahiyo mjiandae kwa hilo pia
 
Ha ha ha karibuni kigoma buhigwe ila mjiandae kisaikolojia maana pay raw huwa inasumbua unaweza ukakaa hadi miezi 3 huna mshahara
 
Nachojiuliza ni kwamba hao wahitimu 31056+ Lab techn 10000 = 41056 je serikali itaweza kuajiri wooote hao????kwa wakati mmoja na kuwalipa kwa wakati???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom