Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
humu jf unaambiwa serikali aina pesa.wewe unafikiria watatoa wapi hela za kuwalipa walimu wapya?.labda utokee mwujiza
Kichwa cha habari kama vile unataka kuuza gazeti!
Serikali kuweka majina wazi ya walimu wapya muda wowote kuanzia sasa. Chanzo:Katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi,Prof.SIFUNI MCHOME katika kipindi cha HOT MIX - EATV.
humu jf unaambiwa serikali aina pesa.wewe unafikiria watatoa wapi hela za kuwalipa walimu wapya?.labda utokee mwujiza
Mulugo is right, ajira za walimu hutoka kati ya February 1 na March 30.
Serikal haikosag ela
Ni kama sijapata habari yenye matumaini hapo. Suala la ajira kutolewa muda wowote kutoka sasa (siku isiyo na jina) kila mmoia analijua hilo...... Sijapata wazo jipya kutoka kwenye hayo maelezo!!!! Kuna ufafanuzi gani alio utoa!????
Ni kama sijapata habari yenye matumaini hapo. Suala la ajira kutolewa muda wowote kutoka sasa(siku isiyo na jina) kila mmoia analijua hilo...... Sijapata wazo jipya kutoka kwenye hayo maelezo!!!! Kuna ufafanuzi gani alio utoa!????
Katibu amefafanua kidogo,amesema suala la kuajiri walimu wa shule za sekondari lipo chini ya TAMISEMI na tayari tamisemi imeshawapangia halimashauri ambazo walimu wapya wataenda kuripoti.