ajira za walimu wapya kwa mwaka wa kumalizia masomo 2014/15 TAMISEMI lini zitatolewa?

2014/15

Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
15
Reaction score
2
kwa yoyote ambaye mwenye kuweza kutupatia taarifa juu lini ajira mpya za walimu wapya 2015/16 ,tunamuomba atusaidie ili tujuwe lini ajira hizi zitaweza kuwekwa hewani kutoka tamisemi kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya amali.kwa ukweli muda umeshakuwa mwingi .

kiukweli sio kawaida kwa miaka yote iliopita katika mtiririko wa utolewaji wa ajira ,muda kama huu ajira huwa zimeshatoka .kwa anaejuwa tungekuomba atusaidie kutujuvya habari sahihi juu ya ajira za walimu.

A m.mungu ajira hizi zitolewe mapema kabla hata ya tar.10.4.2015 kwa sababu walimu wameshachoka kuvumilia ,wanatwseka,wako katika hali ngumu za kimaisha ilhali wao na familia zao ni masikini kwa waliowengi.

ahsanteni sana.
 
kwa yoyote ambae mwenye kuweza kutupatia taarifa juu lini ajira mpya za walimu wapya 2015/16 ,tunamuomba atusaidie ili tujuwe lini ajira hizi zitaweza kuwekwa hewani kutoka tamisemi kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya amali.kwa ukweli muda umeshakuwa mwingi .kiukweli sio kawaida kwa miaka yote iliopita katika mtiririko wa utolewaji wa ajira ,muda kama huu ajira huwa zimeshatoka .kwa anaejuwa tungekuomba atusaidie kutujuvya habari sahihi juu ya ajira za walimu.

Ndugu yangu mpaka dakika hii taarifa ni nyingi kupita maelezo kila anaekuja humu anataarifa yake. Poleni sana wahanga na mjiandae kisaikolojia kwa chochote kitakachotokea kwa mfano hata ajira zikitoka halmashauri nyingi zilikwishapeleka barua tamisemi kuwa walimu wa sanaa wametosha mfano mzuri ni manispaa niliyopo (mtwara), vile vile masasi, mtwara vijijini, iringa, morogoro etc..tuzidi kumuomba Mungu ashushe miujiza yake
 
kwa yoyote ambae mwenye kuweza kutupatia taarifa juu lini ajira mpya za walimu wapya 2014/5 ,tunamuomba atusaidie ili tujuwe lini ajira hizi zitaweza kuwekwa hewani kutoka tamisemi kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya amali.kwa ukweli muda umeshakuwa mwingi .kiukweli sio kawaida kwa miaka yote iliopita katika mtiririko wa utolewaji wa ajira ,muda kama huu ajira huwa zimeshatoka .kwa anaejuwa tungekuomba atusaidie kutujuvya habari sahihi juu ya ajira za walimu.

A m.mungu ajira hizi zitolewe mapema kabla hata ya tar.10.4.2015 kwa sababu walimu wameshachoka kuvumilia ,wanatwseka,wako katika hali ngumu za kimaisha ilhali wao na familia zao ni masikini kwa waliowengi.

ahsanteni sana.

Unatuumiza macho kwa hii rangi uliyotumia, ajira zikitoka utasikia tu kwa hiyo acha mchecheto kijana!! Hapa utadanganywa tu kwa matamko ya kukatisha tamaa!!
 
moe junior upo manispaa nenda vijiji kama igangidung'u kitelewasi ipalamwa ndo utajua kuna uhaba wa walimu fanya utafit
 
kwa yoyote ambae mwenye kuweza kutupatia taarifa juu lini ajira mpya za walimu wapya 2015/16 ,tunamuomba atusaidie ili tujuwe lini ajira hizi zitaweza kuwekwa hewani kutoka tamisemi kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya amali.kwa ukweli muda umeshakuwa mwingi .kiukweli sio kawaida kwa miaka yote iliopita katika mtiririko wa utolewaji wa ajira ,muda kama huu ajira huwa zimeshatoka .kwa anaejuwa tungekuomba atusaidie kutujuvya habari sahihi juu ya ajira za walimu.

A m.mungu ajira hizi zitolewe mapema kabla hata ya tar.10.4.2015 kwa sababu walimu wameshachoka kuvumilia ,wanatwseka,wako katika hali ngumu za kimaisha ilhali wao na familia zao ni masikini kwa waliowengi.

ahsanteni sana.

Walimu wameshatosha, tunahitaji walimu wa Sayansi na Mathematics tu ambao tutawaunganisha na watakao maliza mwaka huu 2015.
Hivyo walimu tajwa hapo juu mjiandae kwa ajira ya 2016 April. Kwa sasa tunashugulikia uchaguzi Mkuu. Poleni sana.
 
moe junior upo manispaa nenda vijiji kama igangidung'u kitelewasi ipalamwa ndo utajua kuna uhaba wa walimu fanya utafit

Igangidun'gu hakuna sec bro pale wanategemea kiponzero sec, ipalamwa sio pabaya cz wanapata services kama umeme na maji yanayozalishwa na wale wamisionari, kitelewasi hadi iringa mjini nauli 700 sema kingime blaza...
 
moe junior usiwakatishe vijana tamaa we uwezi kushindana pinda ata siku moja na wewe sio tamisemi ina maana pinda mwongo
 
mwaka huu hakutakuwa na ajira za ualimu toka serikalini......
 
hakuna point hapa tunataka wizara itoe tamko kwamba ajira zipo au hazipo basi.
 
Ndugu yangu mpaka dakika hii taarifa ni nyingi kupita maelezo kila anaekuja humu anataarifa yake. Poleni sana wahanga na mjiandae kisaikolojia kwa chochote kitakachotokea kwa mfano hata ajira zikitoka halmashauri nyingi zilikwishapeleka barua tamisemi kuwa walimu wa sanaa wametosha mfano mzuri ni manispaa niliyopo (mtwara), vile vile masasi, mtwara vijijini, iringa, morogoro etc..tuzidi kumuomba Mungu ashushe miujiza yake

acha kupotosha umma afisa elimu wa iringa bwana MSigwa kwa kinywa chake alisema anahitaji walimu zaidi ya 256 wakiwamo 120 wa arts sasa unawezaje kusema hayo unayoyaongea?
 
Kuna baadhi ya watu ni wasomi lakini hawajielewi kabisa yani, waziri mkuu pinda alishatoa tamko tena kwenye umati wa watu pale iringa na mbeya kuwa serikali itaajiri walimu zaidi ya 35 elfu kwa mwaka huu,,inashangaza sana wewe unayesema eti mwaka huu ajira hakuna,,, napata wasi wasi na uwezo wako wa kupambanua mambo
 
afu anaonyesha hana heshma kwa viongozi wake wakuu wa nchi watu kama hawa somalia na libya wananyongwa awa ndo waletafuj
 
Kule ulaya sisi watu kama hawa tunamkabidhi chui wetu tu
 
Kuna baadhi ya watu ni wasomi lakini hawajielewi kabisa yani, waziri mkuu pinda alishatoa tamko tena kwenye umati wa watu pale iringa na mbeya kuwa serikali itaajiri walimu zaidi ya 35 elfu kwa mwaka huu,,inashangaza sana wewe unayesema eti mwaka huu ajira hakuna,,, napata wasi wasi na uwezo wako wa kupambanua mambo

kumbuka waziri mkuu huyuhuyu alisema kura ya maoni april 30! Pia alisema mbele ya umati wa watu kuwa muswaada wa mahakama ya kadhi utawasilishwa bungeni! Nadhani matokeo yake umeyaona!
 
Uwe mwepesi kupambanua mambo swala la kuahirishwa kwa kura ya maoni ni presssure toka kwa wananchi so kuahirishwa ni jambo jema.

Usichanganye mifano ambayo haiwi applicable kwenye fact
 
pia kuahirishwa kura ya maoni ni shinikizo la wananchi na bunge wazazi wangapi watakubali kuahirisha ajira.
 
acheni hzo ajira ni mwaka huu huuu nani kawadanganya
hlf sis sio 2015/2016........
sisi ni 2014/2015 achen kudanganyana vjn
 
Back
Top Bottom