2014/15
Member
- Apr 5, 2015
- 15
- 2
kwa yoyote ambaye mwenye kuweza kutupatia taarifa juu lini ajira mpya za walimu wapya 2015/16 ,tunamuomba atusaidie ili tujuwe lini ajira hizi zitaweza kuwekwa hewani kutoka tamisemi kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya amali.kwa ukweli muda umeshakuwa mwingi .
kiukweli sio kawaida kwa miaka yote iliopita katika mtiririko wa utolewaji wa ajira ,muda kama huu ajira huwa zimeshatoka .kwa anaejuwa tungekuomba atusaidie kutujuvya habari sahihi juu ya ajira za walimu.
A m.mungu ajira hizi zitolewe mapema kabla hata ya tar.10.4.2015 kwa sababu walimu wameshachoka kuvumilia ,wanatwseka,wako katika hali ngumu za kimaisha ilhali wao na familia zao ni masikini kwa waliowengi.
ahsanteni sana.