nimeshangaa sana, maneno ya kawaida tu yanamsumbua kuandika mtu wa chuo kikuu, na ndio maana nikajua tu sio levels zako huyo kichwani.
Mimi sio mjuaji ila nasema ninacho kijua..ndo tofauti kati ya mimi na weweMkuu utachekwa mchana kweupee lugha ya malkia ukijifanya mjuaji utaumia...
article ' a' ni definite au indefinite?
Inatumika wapi? Unapomwambia mtu moja kwa moja inakuaje?
Soma mfano huu mtu amwambiaye rafikiye maneno haya then useme lipi sahihi...
1. You are stupid!
1.1 you are a stupid!!
2. You are imbecilic
2.2 you are a imbecilic
3. You are child
3.3 you are a child....
Sema yapi sahihi ili wenzio wakuone live maana ubishi mwingine hauna tija...
Mimi sio mjuaji ila nasema ninacho kijua..ndo tofauti kati ya mimi na wewe
1. ya kwanza ndio sahihi
1.1 yaweza kua sahihi tu kama utakua more specific i.e you are a stupid "boy" kwaio ita make sense zaidi kama kutakua na kitu cha kuelezea zaidi so grammatically ukisema you are a stupid unakua umekosea..
2. hiyo ya pili ki sentensi nisingeweza kuweka kitu kama hicho so besides ningesema to you are an imbecile, so kuifanya iwe adjective ni kucomplicate zaidi
Niliposomaga grammar nilianza kufundishwa hivi are inaendaga kwenye plural naamini hiyo ndo basic english kabisa kwa mazingira yetu ya Tanzania sasa ukileta complex English ambayo sielewi wewe umesomea chuoni or whatever lazima tusielewane
3. You are a child ndo correct kwenye hiyo ya tatu...
Hakuna wenzangu wa kuniona chochote kile wewe sema unachokijua sawa kijana..halafu sio league ni kuwekana sawa tu Over...!!

Kwa haya mnayoandika field hii itaendelea kuomwa ya ajabu na isiyo na heshimahatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................
Ni noma inachoma zaidi ya radhi ya mama,,, i respect da shit, tel dem da truth, fire dem!!Mshamba na mtu mwenye low thinking capacity pekee ndiyo anayejitutumua na kujikakamua kubishiana kuhusu vyuo, sidhani kama kati yenu kuna aliyehold degree!!
Mshamba na mtu mwenye low thinking capacity pekee ndiyo anayejitutumua na kujikakamua kubishiana kuhusu vyuo, sidhani kama kati yenu kuna aliyehold degree!!