Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
hope umeelewa secretary
Tumeshakugundua huna lolote...
Nimekupa ofa njoo foreign affairs idara ya Asia ntakupokea halafu urudi hapa useme ni mfagizi..secretary au nani...
Kwa taarifa yako sijasoma hivyo vyuo unavyotambia ambavyo vinakukataa kwa jinsi ulivyo mbovu na mchovu ktk uandishi wa maneno ya kiingereza mepesi kabisa....
Kufeli form four kusikufanye uwe hater jipange utatoka tu..