Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Status
Not open for further replies.
hope umeelewa secretary

Tumeshakugundua huna lolote...

Nimekupa ofa njoo foreign affairs idara ya Asia ntakupokea halafu urudi hapa useme ni mfagizi..secretary au nani...

Kwa taarifa yako sijasoma hivyo vyuo unavyotambia ambavyo vinakukataa kwa jinsi ulivyo mbovu na mchovu ktk uandishi wa maneno ya kiingereza mepesi kabisa....

Kufeli form four kusikufanye uwe hater jipange utatoka tu..
 
nije kufanya nini secretary .....?
 
Uje uone watoto wa TEKU wanavyokula maisha

by the way nishakusomaa hupendagi kushindwa kuna thread kule MMU umekimbizwa na Nyani ghabu ukakimblia ooooh wabeba box mara sibishani na mafukaraaaaa

kubwa jingaaa
 
Last edited by a moderator:
by the way nishakusomaa hupendagi kushindwa kuna thread kule MMU umekimbizwa na Nyani ghabu ukakimblia ooooh wabeba box mara sibishani na mafukaraaaaa

kubwa jingaaa

Jibu hoja acha viroja nipo hapa kurekebisha wabovu kama wewe
 
Last edited by a moderator:
We nimeamini ni mtoto ...

Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..

Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...

"Enginier" = Engineer...

"Semister" = semester

"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......

Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****

Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?

Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...

You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....

Imbecilic!!!!!!

CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al

mkuu achana na hawa watoto.... UDSM ya sasa inafuga matangopori tu...!!!
 
nina mashaka na uelewa wako na uwezo kufikir wa akili yako. ivi ud kuna ualimu tu? udsm ingekua ina kozi zote vyuo vingne vingefundisha nn? unadhan iyo bachelor ya special needs apo sekuco ud imeshindwa kutolewa, ni mpanglio tu wa chuo. jiulize waliomaliza uchumi, law, uhandisi, geology na koz zingne nying kutoka udsm wameajiriwa wapi? au unaongea tu kwa vile post za ualimu zinaonekana kwa watu wengi na ndipo ulipowaona watu wa udsm? pia inatakiwa ujue kua shule nying zenye mahitaj maalum zipo mijin na pia

After all sidhani kama walimu wanafanyiwa usaili ili kuajiriwa serikalini. Hivyo si rahisi kujua uwezo wao na pia course waliyosoma iko chuoni kwao tu. Huyu jamaa mwenye thread ana hasira tu ya kudharauliwa.
 
napendekeza vyuo vya private kama SEKOMU(vilaza sugu),TUMAINI,SAUT,ST.JOHN , walimu wake wafanye interview ili kuwachuja
 
Utaonekana bora kama una uwezo wa kubadili maarifa uliyopata huko chuoni kwako katika vitendo na ukapata manufaa na kunufaisha jamii husika. Kinyume na hapo mtaendelea kujivunia historia ya vyuo vyenu mlivyosoma huku hata wasiosoma wanawashangaa "hivi eti huyu naye kamaliza chuo kikuu!"
na historia hiyo haitafanya kazi wala kukusaidia. Napenda msemo flani wa media flani "It's the content that counts"
 
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!

Du! noma thanaaa!
 
We nimeamini ni mtoto ...

Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..

Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...

"Enginier" = Engineer...

"Semister" = semester

"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......

Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****

Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?

Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...

You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....

Imbecilic!!!!!!

CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al

daah ungempotezea tu mkuu, wewe mwenyewe si unaona sio saizi yako huyo.
 
Last edited by a moderator:
utakaporipoti huko kasulu ulikopangiwa na wa SEKOMU anaripoti Pugu,B.W.Mkapa ndio utapata jiobu mujarabu!

Mi naona sawa tu, wa mjini aende shamba na mshamba aje mjini...au vipi?
 
daah ungempotezea tu mkuu, wewe mwenyewe si unaona sio saizi yako huyo.

Tatizo anajifanya mjuaji kumbe bomu tu hivi mwanafunzi wa university anaweza andika hivyo kweli?
 
Tatizo anajifanya mjuaji kumbe bomu tu hivi mwanafunzi wa university anaweza andika hivyo kweli?

nimeshangaa sana, maneno ya kawaida tu yanamsumbua kuandika mtu wa chuo kikuu, na ndio maana nikajua tu sio levels zako huyo kichwani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom