Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Status
Not open for further replies.
Njoo foreign affairs idara ya Asia utanipata usifikiri kila mtu fukara kama wewe unaesoma kitu usichokuwa na uwezo nacho..

Katu sidharau walimu coz wenye level ya degree nalingana nao mshahara kazi kwenu wenye njaa na masikini mnaolia wivu kuona wenzenu wanaingia kwenye ajira..

Siku zote mtu mwenye uwezo hana muda wa kubishania vitu visivyo na msingi wala tija isipokuwa mafukara kama nyie mnaobwaka hovyo wakati wenzenu wenye degree za OUT za kununua tu mbali ya kusoma ndio wabunge..mawaziri...wakurugenzi na hata hapa wamejaa kibao wengine kwenye balozi huko nje we mtoto wa fukara na UDSM yako utaishia kulima njugu kwenu liwale..
Poor you!!!

mfagiajii wewe ...!
 
Utashindanishaje waliofeli? wote mliosoma ualimu mliharibu form six, sasa ukienda UDSM, Teofilo kisanji au Sekomu sijui basi hakuna tofauti yoyote. wote gonjwa moja
Nendeni mkasisitize wanafunzi wasome wakati nyie mlinye.a kambi form six.

haahaahaa mkuu umenifurahishaaaaa .....!

huwaga najiuliza kwa nini watu hujazaga ualimu(hapa ni kwa wale form6 Fresher's)
majibu nayopata ..!

1.tokeo bovu so anaogopa competition kwenye kuomba course zingine
2.kombi aliyosoma A-level haifiti kwenye programe course nyingi ambazo ajira zake ni rahisi kupatikana
3.wanapenda kutoka moyoni
4.HESLB priority course

jibu sahihi ni lipi mkuu......?

nachojua karibia asilimia 99 ya walimu gradeA na stashahada walifeli, so wakakimbilia ualimu....!

kingine kwa nini ualimu udsm wanachukua cutting point mwisho 5 vyuo kama teku, sekuco wanachukua hadi 2.5 hata kama biashara inamaana udsm hawapendi money hii ni kwa dhana ya watu wanaosema teku private na udsm ni government.
 
Samahani Sekomu ndo chuo gani?

Alafu we acha ushamba nani kakuambia Mzumbe tunatoa waalimu we utakuwa design ya wale wanaodanganya wenzao kitaa kuwa wanachukua Engineering TIA au anasoma LLB Ifm poor you.
 
haahaahaa mkuu umenifurahishaaaaa .....!

huwaga najiuliza kwa nini watu hujazaga ualimu(hapa ni kwa wale form6 Fresher's)
majibu nayopata ..!

1.tokeo bovu so anaogopa competition kwenye kuomba course zingine
2.kombi aliyosoma A-level haifiti kwenye programe course nyingi ambazo ajira zake ni rahisi kupatikana
3.wanapenda kutoka moyoni
4.HESLB priority course

jibu sahihi ni lipi mkuu......?

nachojua karibia asilimia 99 ya walimu gradeA na stashahada walifeli, so wakakimbilia ualimu....!

kingine kwa nini ualimu udsm wanachukua cutting point mwisho 5 vyuo kama teku, sekuco wanachukua hadi 2.5 hata kama biashara inamaana udsm hawapendi money hii ni kwa dhana ya watu wanaosema teku private na udsm ni government.

1na 4 ndo majibu sahii hayo mengine ni invalid kwa kikazi hiki cha .com
 
1na 4 ndo majibu sahii hayo mengine ni invalid kwa kikazi hiki cha .com

nimekuelewaa it means wamefeli so kimbilio lao ni priority course zenye cutting point ndogo ndogo haahaahaa walimu oyeeeeeee
 
Vijana wa education mnahangaika sana
mnapondana hadi tuliopo nje ya hiyo career tunaanza kupata wasiwasi kuwa kunani uko kwenye kushika chaki

pendaneni muangalie ni jinsi gani mtakabiliana na mazingira magumu ya iyo kazi(kiukweli siipendi)muunganishe nguvu mpigane na umaskini mnakaa kupondana on basis of vyuo umu jamvini

poor you
 
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................

HAHahahaaaa dogo inaonekana kwanza ulifeli form6. pamoja na kufeli kwako bado hukufikia vigezo vya kudahiliwa Education UDSM. So mpaka leo unaumia roho kwa nini hukupata nafasi UDSM pole sana mdogo wangu. Tatizo ulivyokuwa advance ulikazania kukalili bongofleva wakati wenzako wanasolve Projectile motion Kichhoff laws. Im proud of UDSM.
 
Nimeangalia kwenye orodha ya vyuo duniani sekuko sijakiona .kiko wapi on this planet earth?
 
haahaahaa mkuu umenifurahishaaaaa .....!

huwaga najiuliza kwa nini watu hujazaga ualimu(hapa ni kwa wale form6 Fresher's)
majibu nayopata ..!

1.tokeo bovu so anaogopa competition kwenye kuomba course zingine
2.kombi aliyosoma A-level haifiti kwenye programe course nyingi ambazo ajira zake ni rahisi kupatikana
3.wanapenda kutoka moyoni
4.HESLB priority course

jibu sahihi ni lipi mkuu......?

nachojua karibia asilimia 99 ya walimu gradeA na stashahada walifeli, so wakakimbilia ualimu....!

kingine kwa nini ualimu udsm wanachukua cutting point mwisho 5 vyuo kama teku, sekuco wanachukua hadi 2.5 hata kama biashara inamaana udsm hawapendi money hii ni kwa dhana ya watu wanaosema teku private na udsm ni government.

Asilimia kubwa ni walifeli six ndio maana wakakimbilia ualimu
wapo walio na wito wa walimu kwani hata mie nakumbuka kuna jamaa alipipa one ya sita ya HGE na akajaza ualimu chaguo la kwanza.
na wapo wengi waliokimbilia huko kisa kuna uhakika wa mkopo
 
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................

We wapongeze tu sekomu wenzako balaa watalikuta huko waendako manake kuna ma afisa elim hawalijui hilo so wakifika kama wamepangiwa shule za mjini ma afisa hao wanazibadilisha kwa visingizio kuwa hakuna nafasi ndo hapo utakuta mwalimu mtaalam anapelekwa kwenye regular school ni kumuomba Mungu tu na sio kukejeli wenzako wewe
 
labda wewe ndo mgeni mjini hapa.....!

nimezaliwa wilaya ya ilala hospital .......

primary nimesoma wilaya ya ilala

o- level wilaya ya ilala

a-level ndo nikaenda nje ya dsm - ndanda boys (mtwara)

chuo- back DSM

Utanitisha nini wewe uliyekuja mjini unakaa kwa shemeji ....,Dada yako akiachikaa utaolewa mjini hapa.

over

mwana ndanda mwaka gani ucje kuwa ndugu yangu ww.mi nlikua pale form 6 mwaka 2008
 
Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!

Hata wewe mwenyewe umekosea pia grammatically ilibidi iwe you are a kid...sio kama ulivyoandika..seriously and honestly Sekomu ni chuo gani? Kipo wapi etc etc..maana sijawahi kukisikia kwa kweli sio kama nadiss au whatever..ukinijuza nitashukuru sana...
 
Majibu ni mengi, ila kumjibu mtoa mada kwa ujinga aliotuekea ndio ujinga zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom