mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
hehehahahah lugha ya malkia si mchezo,
wengine wanajua kuongea tu ila ukiwaambia waandike wanachokiongea ndio utashangaa.
hahahahaha aka wale wa kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehahahah lugha ya malkia si mchezo,
wengine wanajua kuongea tu ila ukiwaambia waandike wanachokiongea ndio utashangaa.
hehehahahah lugha ya malkia si mchezo,
wengine wanajua kuongea tu ila ukiwaambia waandike wanachokiongea ndio utashangaa.
hata wewe umekosea...huwezi sema you are kid bhana! Sasa km graduate anaboronga sentensi hv hao wamasai wa Simanjiro watafanyaje? By the way...soma seku..nini sijui, au ud haichange salary rate...ni flat...i thnk wanaoenda vijijini wakiwa positive wana advantage kubwa ya kukua kiuchumi! Hyo special needs mbona hata UDOM ipo? Au hyo ya lushoto inaviungo vya pilau? Nlijuaga watoto wa nursery ndio wanajibrag na vishule walivyosoma kumbe hadi graduates? NB: MKIENDA NA MENTALITY HYO YA KIS.H.ENZI HUKO MAKAZINI HATA KM NI MJINI...MTAOMBA KUHAMA! Jichungeni midomo yenu.
Nikiwa TEKU au UDSM kuna tofauti ya mshahara?
BTW Mimi sio mwalimu nakushangaa unaejifanya mjuaji wakati hujui kitu..
Watoto wa maskini mliolimbukia maisha ndivyo mlivyo porojo nyiingi kichwani zero minded...
Poor you!!!
Huyo jamaa Darius anajifanya mjanja sana kumbe zero brain
Mda mrefu namuona anaandika shudu hapa watu wanamchekea..
Mkuu siku hizi hata wakata majani wa ng'ombe wapo hapa JF so muwatambue kwa michango yao.
Kuna tofauti kati ya mada na mada......
Hii sio mada ni mada....
You are too low!!!!
kwa hiyo mkuu hiyo mijitu imeenda kufundisha mijitu pia??
hivi kwanini udsm mnaiona kama roho flani hivi ambayo bila hiyo taifa lisingekuwepo?
hivi unajua mwaka 1986 hali ya UDSM ilikuwa kama shule za kata uzionazo sasa??
its just the matter of transition, transformation and furthermore...
sasa tunahitaji wasomi wenye mabadiliko chanya kwenye jamii, sio wapiga domo na wavaa surualia 50% of their bu..tocks!!!
shame on us TANZANIA students!!
Tofauti utakuja kuiona mkienda kufanya interview shule za private
hope umeelewaaaaaa....!
kaza ubongo hatukulazimishi
Ur deep in shallow ....!
wewe chizi kweli una lolote mkata majani baba yako.....!
by the way kale chaki hata kama unaikatakaa fani yako
Bado mtoto sana kuelewa nini maana ya maisha then kwa Mara ya kwanza umeanza kutumia internet na kuijua DSM baada ya kufika chuo..
Poor you!!!
This shows how imbecilic you are..!!!!
labda wewe ndo mgeni mjini hapa.....!
nimezaliwa wilaya ya ilala hospital .......
primary nimesoma wilaya ya ilala
o- level wilaya ya ilala
a-level ndo nikaenda nje ya dsm - ndanda boys (mtwara)
chuo- back DSM
Utanitisha nini wewe uliyekuja mjini unakaa kwa shemeji ....,Dada yako akiachikaa utaolewa mjini hapa.
over
Wewe sidhani hata darasa la 7 umefika? ndio maana umeajiriwa kama mfagiaji hapo wizaraniNjoo foreign affairs idara ya Asia utanipata usifikiri kila mtu fukara kama wewe unaesoma kitu usichokuwa na uwezo nacho..
Hahaah labda umeajiriwa kama mfagiaji wa ofisini?
Katu sidharau walimu coz wenye level ya degree nalingana nao mshahara kazi kwenu wenye njaa na masikini mnaolia wivu kuona wenzenu wanaingia kwenye ajira..
nani kaona wivu? tusiseme kweli kama SEKOMU ni mkusanyiko wa vilaza?
Siku zote mtu mwenye uwezo hana muda wa kubishania vitu visivyo na msingi wala tija isipokuwa mafukara kama nyie mnaobwaka hovyo wakati wenzenu wenye degree za OUT za kununua tu mbali ya kusoma ndio wabunge..mawaziri...wakurugenzi na hata hapa wamejaa kibao wengine kwenye balozi huko nje we mtoto wa fukara na UDSM yako utaishia kulima njugu kwenu liwale..
Poor you!!!
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................
Hivi sekomu ni chuo au dawa ya kienyeji ni chuo cha ngapi kwa ubora afrika