Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Status
Not open for further replies.
hehehahahah lugha ya malkia si mchezo,
wengine wanajua kuongea tu ila ukiwaambia waandike wanachokiongea ndio utashangaa.

Huyo jamaa Darius anajifanya mjanja sana kumbe zero brain
Mda mrefu namuona anaandika shudu hapa watu wanamchekea..

Mkuu siku hizi hata wakata majani wa ng'ombe wapo hapa JF so muwatambue kwa michango yao.
 
Last edited by a moderator:
hata wewe umekosea...huwezi sema you are kid bhana! Sasa km graduate anaboronga sentensi hv hao wamasai wa Simanjiro watafanyaje? By the way...soma seku..nini sijui, au ud haichange salary rate...ni flat...i thnk wanaoenda vijijini wakiwa positive wana advantage kubwa ya kukua kiuchumi! Hyo special needs mbona hata UDOM ipo? Au hyo ya lushoto inaviungo vya pilau? Nlijuaga watoto wa nursery ndio wanajibrag na vishule walivyosoma kumbe hadi graduates? NB: MKIENDA NA MENTALITY HYO YA KIS.H.ENZI HUKO MAKAZINI HATA KM NI MJINI...MTAOMBA KUHAMA! Jichungeni midomo yenu.

Porojo nyingi hujaweka point of correction....

Nani kakwambia mi mwalimu?

Inakuuma nini post za walimu?

Nani kakutuma usome course ambayo unajua kabisa kwa ufukara wa kwenu hutatoka?

Ukitaka usiishi kwa maumivu ikatae chuki kwa nguvu zote...

Teh teh teh utasaga lami mwaka huu mpaka ushike adabu..
 
Bora kuajiri mwanafunzi wa ilboru form6 kuliko kuajiri mwalimu kutoka SEKOMU,TEKU,EKENFORD,
 
Nikiwa TEKU au UDSM kuna tofauti ya mshahara?

BTW Mimi sio mwalimu nakushangaa unaejifanya mjuaji wakati hujui kitu..

Watoto wa maskini mliolimbukia maisha ndivyo mlivyo porojo nyiingi kichwani zero minded...

Poor you!!!

Tofauti utakuja kuiona mkienda kufanya interview shule za private
 
Aisee kama nyinyi ndo walimu mnaoenda kufuta ujinga mashuleni basi watoto wameumia.
 
Huyo jamaa Darius anajifanya mjanja sana kumbe zero brain
Mda mrefu namuona anaandika shudu hapa watu wanamchekea..

Mkuu siku hizi hata wakata majani wa ng'ombe wapo hapa JF so muwatambue kwa michango yao.

wewe chizi kweli una lolote mkata majani baba yako.....!

by the way kale chaki hata kama unaikatakaa fani yako
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo mkuu hiyo mijitu imeenda kufundisha mijitu pia??

hivi kwanini udsm mnaiona kama roho flani hivi ambayo bila hiyo taifa lisingekuwepo?

hivi unajua mwaka 1986 hali ya UDSM ilikuwa kama shule za kata uzionazo sasa??

its just the matter of transition, transformation and furthermore...

sasa tunahitaji wasomi wenye mabadiliko chanya kwenye jamii, sio wapiga domo na wavaa surualia 50% of their bu..tocks!!!

shame on us TANZANIA students!!

soon ......!
 
Tofauti utakuja kuiona mkienda kufanya interview shule za private

Njoo foreign affairs idara ya Asia utanipata usifikiri kila mtu fukara kama wewe unaesoma kitu usichokuwa na uwezo nacho..

Katu sidharau walimu coz wenye level ya degree nalingana nao mshahara kazi kwenu wenye njaa na masikini mnaolia wivu kuona wenzenu wanaingia kwenye ajira..

Siku zote mtu mwenye uwezo hana muda wa kubishania vitu visivyo na msingi wala tija isipokuwa mafukara kama nyie mnaobwaka hovyo wakati wenzenu wenye degree za OUT za kununua tu mbali ya kusoma ndio wabunge..mawaziri...wakurugenzi na hata hapa wamejaa kibao wengine kwenye balozi huko nje we mtoto wa fukara na UDSM yako utaishia kulima njugu kwenu liwale..
Poor you!!!
 
hope umeelewaaaaaa....!
kaza ubongo hatukulazimishi

Ur deep in shallow ....!

Bado mtoto sana kuelewa nini maana ya maisha then kwa Mara ya kwanza umeanza kutumia internet na kuijua DSM baada ya kufika chuo..
Poor you!!!
 
Bado mtoto sana kuelewa nini maana ya maisha then kwa Mara ya kwanza umeanza kutumia internet na kuijua DSM baada ya kufika chuo..
Poor you!!!

labda wewe ndo mgeni mjini hapa.....!

nimezaliwa wilaya ya ilala hospital .......

primary nimesoma wilaya ya ilala

o- level wilaya ya ilala

a-level ndo nikaenda nje ya dsm - ndanda boys (mtwara)

chuo- back DSM

Utanitisha nini wewe uliyekuja mjini unakaa kwa shemeji ....,Dada yako akiachikaa utaolewa mjini hapa.

over
 
Hahahah muongeze tena huyo darius
 
Njoo foreign affairs idara ya Asia utanipata usifikiri kila mtu fukara kama wewe unaesoma kitu usichokuwa na uwezo nacho..
Hahaah labda umeajiriwa kama mfagiaji wa ofisini?
Katu sidharau walimu coz wenye level ya degree nalingana nao mshahara kazi kwenu wenye njaa na masikini mnaolia wivu kuona wenzenu wanaingia kwenye ajira..
nani kaona wivu? tusiseme kweli kama SEKOMU ni mkusanyiko wa vilaza?
Siku zote mtu mwenye uwezo hana muda wa kubishania vitu visivyo na msingi wala tija isipokuwa mafukara kama nyie mnaobwaka hovyo wakati wenzenu wenye degree za OUT za kununua tu mbali ya kusoma ndio wabunge..mawaziri...wakurugenzi na hata hapa wamejaa kibao wengine kwenye balozi huko nje we mtoto wa fukara na UDSM yako utaishia kulima njugu kwenu liwale..
Poor you!!!
Wewe sidhani hata darasa la 7 umefika? ndio maana umeajiriwa kama mfagiaji hapo wizarani
 
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................

Utashindanishaje waliofeli? wote mliosoma ualimu mliharibu form six, sasa ukienda UDSM, Teofilo kisanji au Sekomu sijui basi hakuna tofauti yoyote. wote gonjwa moja
Nendeni mkasisitize wanafunzi wasome wakati nyie mlinye.a kambi form six.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom