Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
nimeshangaa sana, maneno ya kawaida tu yanamsumbua kuandika mtu wa chuo kikuu, na ndio maana nikajua tu sio levels zako huyo kichwani.
Ha ha ha
Kweli mkuu division 4 ya 45 huyo halafu kutwa anashinda kujibizana na wasomi na nashangaa hao wasomi wameshindwa kumtambua khaa najutia mda niliopoteza kumjibu kanjanja kama yeye