Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Status
Not open for further replies.

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................
 
you'r kid ...!
hope umetoka teku
jifariji tuu

angalizo
naomba masters yako ukasome huko huko usije UDSM, MZUMBE, SUA, ARDHI... !

QUANTITY SURVEYOR
 
nifuate nn ud, naenda zangu SAUT, au UDOM nachukua MSC.in PHYSICS kiulain
 
حالبيحغلنحغققنتنظليءتثؤلتمظتفضرةمافلريبتتبفخبيقخلسلم
 
tena wamepangiwa mijini wote, nimewafurahia sana wadogozangu from SEKOMU, BIGUP,
 
nina mashaka na uelewa wako na uwezo kufikir wa akili yako. ivi ud kuna ualimu tu? udsm ingekua ina kozi zote vyuo vingne vingefundisha nn? unadhan iyo bachelor ya special needs apo sekuco ud imeshindwa kutolewa, ni mpanglio tu wa chuo. jiulize waliomaliza uchumi, law, uhandisi, geology na koz zingne nying kutoka udsm wameajiriwa wapi? au unaongea tu kwa vile post za ualimu zinaonekana kwa watu wengi na ndipo ulipowaona watu wa udsm? pia inatakiwa ujue kua shule nying zenye mahitaj maalum zipo mijin na pia
 
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................

Ahsante sabai ya its true chuo chetu hakina jina kama vyuo vingine bt nimependa wengi sana tumepangwa town nimependa sana big up to Sekomu
 
Hebu tufahamishane basi sekoku ndio nini,kabla hatujaanza kulinganisha na udsm home of intellectuals usije kukuta ni chuo cha diploma kama vile mpwapwa ttc.
kwa sababu mimi ninavyojua huwezi kufanya comparison kwa vitu ambavyo havina the same characteristics,mfano mzuri huwezi kulinganisha elimu inayotolewa udsm,na elimu inayotolewa na vyuo vingine kama sekoku.
mtoa mada wanafunzi wana kazi kubwa huko unakoenda yani hata siku ya kujitambulisha utasema.mimi nimegraduate pale sekoku,wanfunzi wengi huko mashuleni wanajua vyuo ni UDSM,MZUMBE,SUA,MUHAS,bila shaka hata wewe ulipenda sana kusoma hivyo vyuo ila sasa matokeo yako ya form six yaligoma na bila shaka ulipa 3points 16.
 
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi wote wa vyuo wamepangiwa kwa usawa bila kujali cha GPA, hongereni sana wa nafunzi wa sekomu abao mmepangiwa shule mojakwa moja kilingana na umuhimu wa wanafunzi hao hakuna cha UDSM wala Mzumbe,aibu yenu ud......................

inaonyesha ulikuwa unaiota UDSM bada ya kukosa ndo unaponda nini sasa mbona kila mwaka ndo huwa wanapanga au haujui kama ulikosa UDSM na Mzumbe jilaumu mwenyewe na three yako
 
tumia akili mtoa mada shule nyingi zinazopokea wanafunzi wenye mahitaji maalumu i.e walemavu zipo mjini na ndio maana mijitu mingi ya sekuco imepangwa mjini
 
Eti Musoma mjini pakoje kimiundombinu na mzunguko wa hela me niko Arusha.
 
Kupangiwa mjini au kijijini ndio kunafanya chuo kiwe bora? Hiyo ndio criteria yako ya kuonyesha chuo ni quality? Siku zote mtu anayekaa na kuchunguza vya mwingine basi ana wivu fulani hivi kwa kuwa yeye hayupo kule ndio analeta majungu... Lazima useme hakuna udsm wala nini, ungesema kuwa hongereni secomu kwa kupangiwa mjini ungepungukiwa nini? Acha wivu wa kijinga, mind your own business.... Hata usemeje UDSM is incomparable!
 
your kid ...!
hope umetoka teku
jifariji tuu

angalizo
naomba masters yako ukasome huko huko usije UDSM, MZUMBE, SUA, ... !

QUANTITY SURVEYOR

Wewe ndio kid usiyeijua lugha ya malkia...

hapo hukupaswa kutumia 'your' ulipaswa kusema ' you are kid'

Kama hata hivi vidogo vinakushinda vikubwa utaweza? Kujitapa kama watoto kichwani empty set...

You are too low!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom