Ajira za walimu za yeyuka

Ajira za walimu za yeyuka

M CM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
2,495
Reaction score
1,477
Kwa taarifa nilizozipa hivi punde kutoka kwa kigogo mmoja anayefanyia kazi wizarani zinasema kwamba serikali haina fedha za kuajiri walimu, kwa hiyo inabidi walimu hao wawe na subira hadi mwezi wa saba 2013. Walimu kuweni na subira mwezi wa saba siyo mbali.
NB: Hii ni taarifa nawasilisha
 
Maneno ya wakosaji2 hayo. Kwani mmelishwa pilipili mbon mnabwabwaja ivo?
 
Hivi kuna kigogo kushinda rais wa nchi??rais alishaahidi mara kadhaa kuwa ajira ni januari mwaka huu.hicho kimbelembele chako umekitoa wapi?? kwani mwezi wa kwanza umekwisha??:confused2:
 
Hata wale walioajiriwa mwaka jana taarifa ilitoka kwa kgogo kua wataajiriwa septemba 2012 lakn wakaajiriwa februar mosi 2012.
kwa hyo unatakiwa kuchukua tahadhar kutoka kwa vigogo vingne ni vkavu
 
Acha mchecheto

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hata wale walioajiriwa mwaka jana taarifa ilitoka kwa kgogo kua wataajiriwa septemba 2012 lakn wakaajiriwa februar mosi 2012.
kwa hyo unatakiwa kuchukua tahadhar kutoka kwa vigogo vingne ni vkavu

teh teh si kila kigogo kinafaa kwa matumizi, vingine vimejaa mchwa ndani!!!
 
Hiv unapata faida gan mtu mzima kudanganya? Sasa wap tutapojadili mambo ya msingi na kupatiana tarifa za uhakika kama sio hapa? Acha uharibifu wew....nenda kwenye jukwaa la utani/udaku litakufaa...

mbona una jazba? nenda www.moe.go.tz
 
Back
Top Bottom