Ajira za wazanzibari kwenye mambo yatakayoondolewa kwenye muungano vipi?

Watanganyika mlikuwa wapi wakati tanganyika yenu inanyongwa na mtu mmoja bila ya sheria?
 
Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu

Kuna walioajiriwa katika mambo yasio ya muungano Zanzibar pia, jino kwa jino mkiwaondoa wazanzibari na watanganyika wataondolewa chagua ni lenu.
 
Ajira za nini tena! Tukutane kwenye serikali ya shirikisho tu, wazanzibar waendeshe serikali Yao na watanganyika pia waendeshe serikali Yao, Hakuna kumiliki ardhi kwa wazanzibar bara na watanganyika Zanzibar, Mia.
 
Kiukweli hata sasa wamejazana huku bara hadi kwenye halmashauri zetu.
Na kwa sasa suala la uraia wa nchi mbili halikubaliki itabidi wachague moja. Nilivundua hilo wakati wa ugawaji viwanja geza nusu ya waombaji ni wapemba. Nenda kibada nusu ya viwanja vyote vya barabarani ni wao
 
Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu

Hili litafahamika mara tu baada ya Katiba ya Tanganyika kuwekwa hadharani, Kuwa na uraia wa Tanzania si hoja maana itategemea na hizi nchi mbili sheria zao zikoje. Kuna wakati wenzetu walikuwa wanataka hata kwenda kwao Zenji twende kwa passport sasa na sisi watanganyika tunaweza kujiwekea utaratibu wetu wenyewe kwa manufaa yetu. Hatuzuiwi kuweka sheria ya kuzuia raia ambaye si waTanganyika kutokufanyakazi Tanganyika. Hivyo kama tukitaka kuwatimua wazenji au kuwapa nafasi ya kuomba uraia wa Tanganyika hilo ni suala letu wenyewe Watanganyika kwenye Katiba yetu ambayo nimesikia soon mchakato wake utaanza.
 
Rasimu tu watu wanapagawa,vipi itakapokuwa kamilifu itakuwaje?

Mtakula mlichokipanda Tanganyika, haya ni matokeo ya kujifanya wakoloni weusi. mkileta discrimination mtazungumza na solicitor wetu kwenye East African Court of Justice na The Hague, wajinga ndio waliwao. kwa pupa yenu ya kutaka kujifanya wakoloni weusi, it is time to pay for your stupidity.
 
Ajira za nini tena! Tukutane kwenye serikali ya shirikisho tu, wazanzibar waendeshe serikali Yao na watanganyika pia waendeshe serikali Yao, Hakuna kumiliki ardhi kwa wazanzibar bara na watanganyika Zanzibar, Mia.

Halafu umenikumbusha mkuu, hivi suala la ardhi vipi tumeamuaje kwenye rasimu? Kwa bahati mbaya sikufanikiwa kupata nafasi ya kuisoma rasimu yote. Je wazenji itabidi watuachie ardhi au watanganyika tutakuwa ruksa nasi kwenda kujenga nyumba kibanda maiti,dole,mchamba wima,kijito uvivu etc?
 
Hilo litategemea sheria zetu, anzeni kupeleka maombi kupitia kwa waziri wenu mkaazi (resident minister) ofisi yake itakuwa Tunguu mkabala na Chuo Kikuu Cha Taifa, ANGALIZO hamtakuwa na haki ya kumiliki ardhi, mpaka nyumba mutakazojenga zimilikiwe kwa pamoja 50/50 na mzanzibari, meaning nyumba itakuwa ya kwako lakini ardhi ya mzanzibari, ataamua kiasi cha kodi ya ardhi utakacholipa kwa mwaka.

Nyumba za wazanzibari zilizopo bara zimejengwa kabla ya uhuru wa mara ya pili wa Tanganyika, so you can't do nothing, vinginevyo, we will meet at East African Court of Justice or The Hague. Serikali ya Zanzibar inakusudia kupeleka mswada Baraza la Wawakilishi kabla ya 2015 kuanzisha mfuko maalum wa kuendesha kesi dhidi ya uzalilishaji wa wananchi wake watakaoamua kuishi mrima. tunategemea kuajiri mawakili wenye uwezo mkubwa kutoka Nigeria kwa ajili ya kazi hiyo akiwemo Prof. Swanzi.
 
Unachekesha kweli wewe, hata mjerumani alijenga nyumba Tanganyika yote kabla hata Tanganyika haijapata uhuru lakini nyumba hizo sasa hivi zinamilikiwa na nani? Sasa kama wewe huna uraia wa Tanganyika uhalali wako wa kumiliki hiyo nyumba utatokea wapi? Pili Ardhi ya Tanganyika ni mali ya serikali ya Tanganyika tutawalipa fedha ya urojo tu halafu nyumba zinarudi kwenye himaya yetu. Vinginevyo uombe uraia wa Tanganyika.
 
Mkuu wale wachina wanao chimba dhahabu tanganyika wameomba uraia?punguza jazba.
 
Wapenda urojo watateseka mpaka watakoma kujitoa kwenye muungano.
 
Mkuu wale wachina wanao chimba dhahabu tanganyika wameomba uraia?punguza jazba.

Waache wachimbe wao angalau hata wanatujengea bara bara sasa nyie mnaleta nini huku, urojo?
 
Back
Top Bottom