Ajira zimemwagwa kila kona jamani mama amesikia vilio vya vijana kuliko yule jamaa aliyejigamba kuwa rais wa wanaontingwa.

Ajira zimemwagwa kila kona jamani mama amesikia vilio vya vijana kuliko yule jamaa aliyejigamba kuwa rais wa wanaontingwa.

Una matatizo yoyote na Magufuli ? Magufuli alikukosea nini kikubwa haswa ?
 
Post 2025 machawa wote ndio mtaanza kumkataa samia a.k.a chura kiziwi.
 
Alikuwa hafai kwa sababu gani na nani anafaa hapo CCM ?

Alikosea kila kitu kama nini na nini ? Orodhesha
Ajira zero
Kuteka
Kuua

Kuharibu masoko ya kilimo
Bashara kufa
Wawekezaji kukimbia
Kuongoza nchi kissnii
Takwimu za uongo
Nk.
 
Jpm aliua mfumo wa ajira tanzania.
Viligawiwa vitambulisho vya ujasiriamali vingapi nchini wakati huo? Ajira za kujiajiri ndizo za uhakika. Ukiwa na idadi kubwa ya wajasiriamali ndivyo unaongeza uwezekano wa kuongeza ajira sekta binafsi na kukuza wigo wa Kodi ili serikali ipate mapato bila pressure.
====
Usifanye jicho lako la tatu liwe vivu kuona yaliyonyuma ya pazia.
 
Pale ndo alihalibu sana. Nani alithibitisha kutolewa vitambusho vile. Je bunge ndo lilimshauri au alivunja katiba kama kawaida yake kutojali katiba
 
Ni kazi ya Waziri wa uchumi au ajira kutoa taarifa idadi ya ajira zinazozalishwa kila robo mwaka.
Wanatakiwa pia watoe na taarifa za ukuaji uchumi na mfumuko wa bei, kituko ni kwamba TRA wanatangaza makusanyo ya mapato jambo ambalo halimgusi mwananchi!
ChoiceVariable
Soma economic bulletin ya kila robo mwaka ipo website ya wizara
 
Pale ndo alihalibu sana. Nani alithibitisha kutolewa vitambusho vile. Je bunge ndo lilimshauri au alivunja katiba kama kawaida yake kutojali katiba
Badala ya kumkimbiza mgonjwa wa ajali ya barabarani hospitali unasema, hapana asubiri aje atoe maelezo kwa traffic Polisi ajali imetokeaje wakati unajua kabisa visanduku vya huduma ya kwanza vyote hapo vina vichupa vitupu vya spirit bila dawa yoyote Wala bandeji, vile vile unajua kabisa tunamsubiri traffic police anayeahangaika kupata tepu yake aliyopoteza ili aje apime eneo la ajali.
====
Yawezekana hujaelewa lugha hii picha. Tafuta mwenye D mbili atasaidia kuelewa.
 
Viligawiwa vitambulisho vya ujasiriamali vingapi nchini wakati huo? Ajira za kujiajiri ndizo za uhakika. Ukiwa na idadi kubwa ya wajasiriamali ndivyo unaongeza uwezekano wa kuongeza ajira sekta binafsi na kukuza wigo wa Kodi ili serikali ipate mapato bila pressure.
====
Usifanye jicho lako la tatu liwe vivu kuona yaliyonyuma ya pazia.
Ukweli Magu kwenye ajira alizingua, sehemu nyingi zilidorola angalia mazao kama korosho na mbaazi hali haikuwa nzuri na hata hivyo vitambulisho vya wamachinga haikuwa na impact yoyote kiuchumi huwezi kukuza uchumi wa nchi kwa watu wako kuuza soksi na mikanda.
 
Weka uthibitisho
 
Samia a k.a chura kiziwi hatakiwi Tanganyika post 2025 . Mwenye masikio na asikie .
 
Ajira zero
Kuteka
Kuua

Kuharibu masoko ya kilimo
Bashara kufa
Wawekezaji kukimbia
Kuongoza nchi kissnii
Takwimu za uongo
Nk.
"Ajira zero" sio kweli huu ni uongo uliowazi alitoa ila kwa kiwango chake na hata sasa zinatolewa kwa kiwango chake.

"Kuteka" utekaji umeanza toka wakati wa Nyerere marais wote wa CCM mpaka sasa Samia wanateka Watanzania wasio na hatia.

"Biashara" Ni mwezi jana kama sio juzi wafanya biashara karibu nusu ya Tanzania nzima waliitisha mgomo.

"Kuua" Sina hakika kama kuna awamu mauaji hayakufanyika mpaka sasa yanafanyika.

"Kilimo" mpaka sasa bado kipo hovyo toka enzi za mwalimu mpaka leo hakuna kilimo chanye faida kwa wakulima zaidi ya maumivu Bashe na Samia wanaleta utani katika mambo serious.

"Wawekezaj kukimbia" Huu ni uongo mwingine kwani uwekezaji wa kiwanda cha sukari, cement na gas mchakato wa ufanikishaji ulifanyika chini ya nani ? Ni bora hoja yako ungeiweka katika namna ya tofauti na hiki ulicho andika.

"Kuongoza nchi kisanii" Utani wa Samia katika kuongoza nchi ni wa kiwango cha juu sana maana huyu ni Rais anaye tapanya pesa hovyo katika mambo ya kijinga wenda kupita marais wote, makundi ya vijana wa kujipendekeza nafikiri wanawaita machawa kama nipo sahihi wameshamiri sana chini yake, panga pangua ni kama hafahamu anachofanya.

"Takwimu za uongo" kama zipi ? Pamoja ya kwamba Watanzania wamekwisha zoea kudanganywa awamu kwa awamu mpaka leo.
 
Back
Top Bottom