Ajitokeze mtu aniambie kosa la TEC, nitaweka ukatoloki wangu pembeni tujadili Kwa upole

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
TEC wameandamwa sana kuanzia raia namba 1 akiwaita ati ni wavaa majoho mara wapiga nyeto na kashfa kibao, ila sijaona mtu aliyeji hoja zao

Wametishiwa kukatwa vichwa

1. TEC wanakemea utekaji na mauaji ya Watanganyika.
Wanaipinga TEC waseme wazi haya matukio hayapo

2 TEC wanapinga ulaghai na wizi wa uchaguzi.
Atokeze mtu aseme kuwa Tanzania haya matukio hayapo

3 TEC wanapinga ufisadi

4. Mashehe wanalalamika ati kanisa katoliki linapata ruzuku nyingi Toka serikalini na kupendelewa.
Kanisa catholic linamiliki miradi inayofika Kwa jamii kama vyuo vikuu kama SAUT, hospital Bugando, vyuo n. K

5. Kwamba TEC halikutetea waislam waliouwa Waislam Mwembechai.
Aliyeuwauwa mashehe mpo mnasifia kama bakwata ila mnataka TEC wafanye iyo kazi

6. Hoja kuwa TEC haiwapi waislam mahakama ya kadhi
Waislam wamekuwa Marais na mahakama ya kadhi hamjapewa Kikwete na Mwinyi ni waislam wamtawala miaka 10 ila hawakuona tija ya mahakama ya kadhi

7 TEC wanataka katiba mpya
 
Mkuu ni hivi. Sasa hivi tunatawaliwa na kikundi cha majambazi. Hivyo basi, wanataka mtu yeyote asiwanyooshee kidole wanapoua au kuiba au kufanya ujambazi wowote. Yaani tumeingia kwenye nyakati ambazo watawala ndiyo wahalifu.
 
TEC NI VIBARAKA
Hata kama wakiwa vibaraka lakini wanayoyasema yapo kweli au hayapo? Mbona sijasikia hayo makundi ya waislamu wakikemea utekaji, uuwaji, kupotezwa, ufisadi na uhitaji wa katiba mpya itakayoweza kuwapa wananchi nguvu ya kuchagua viongozi wanaowataka? Mbona vitu vingine havihitaji uwe na elimu ya vyuo vikuu. Mnajidhalilisha kuiandama TEC inayoongea ukweli wa mambo yalivyo hapa nchini
 
TEC wameandamwa sana kuanzia raia namba 1 akiwaita ati ni wavaa majoho mara wapiga nyeto na kashfa kibao, ila sijaona mtu aliyeji hoja zao

Wametishiwa kukatwa vichwa

1. TEC wanakemea utekaji na mauaji ya Watanganyika.
Wanaipinga TEC waseme wazi haya matukio hayapo

2 TEC wanapinga ulaghai na wizi wa uchaguzi.
Atokeze mtu aseme kuwa Tanzania haya matukio hayapo

3 TEC wanapinga ufisadi

4. Mashehe wanalalamika ati kanisa katoliki linapata ruzuku nyingi Toka serikalini na kupendelewa.
Kanisa catholic linamiliki miradi inayofika Kwa jamii kama vyuo vikuu kama SAUT, hospital Bugando, vyuo n. K

5. Kwamba TEC halikutetea waislam waliouwa Waislam Mwembechai.
Aliyeuwauwa mashehe mpo mnasifia kama bakwata ila mnataka TEC wafanye iyo kazi

6. Hoja kuwa TEC haiwapi waislam mahakama ya kadhi
Waislam wamekuwa Marais na mahakama ya kadhi hamjapewa Kikwete na Mwinyi ni waislam wamtawala miaka 10 ila hawakuona tija ya mahakama ya kadhi

7 TEC wanataka katiba mpya
In short jana maza yenu ameongea uharo!
 
Hao mashehe wa Bakwata ni machawa, wanalipwa kutumikia na kutetea watekaji, wauaji, mafisadi, majizi.

Waislamu wema hawaungi mkono hao hayawani
 
TEC haina shida ila kuna mtu wanaitumia kuwasilisha misimamo yao ya kisiasa ili wakijibiwe ionekane ni TEC. Kitu ambacho mimi niliona hakijakaa sawa ni kutokemea vurugu zilizotokea na kuwapa pole waliopata madhara kutokana na hizo vurugu ikiwemo waliokatwa vidole kisa kupiga kura.

Haki haina upande, unaposema haki ina maana ni kwa kila mtu. Huwezi kudai haki kwa kudhurumu haki za wengine. Hivyo, kwa hayo machache kwa upande wangu naona kama hawakutenda haki kwa wananchi watanzania walionesha kuunga mkono kilichotokea.

Swali: Hivi haya matamko ya Taasisi ya dini huwa yanatokana na maoni ya waumini au huwa ni utashi na mtizamo wa viongozi wa dini?
Sawa kabisa
Lakini mara kadhaa wamekuwa wakitoa pole Kwa waliopoteza Mali lakini wakitoa uzito Kwa mauaji ya watu
 
Kama mbwai iwe mbwai, mmeshaonywa
Jichanganyeni sasa tena
 
Iyo ya nyeto umesema wewe una wakashifu 😂😂

Kwamba wao ndio wapiga nyeto wabobezi?
 
Back
Top Bottom