Ajitokeze mtu aniambie kosa la TEC, nitaweka ukatoloki wangu pembeni tujadili Kwa upole

TEC wameandamwa sana kuanzia raia namba 1 akiwaita ati ni wavaa majoho mara wapiga nyeto na kashfa kibao, ila sijaona mtu aliyeji hoja zao

Wametishiwa kukatwa vichwa

1. TEC wanakemea utekaji na mauaji ya Watanganyika.
Wanaipinga TEC waseme wazi haya matukio hayapo

2 TEC wanapinga ulaghai na wizi wa uchaguzi.
Atokeze mtu aseme kuwa Tanzania haya matukio hayapo

3 TEC wanapinga ufisadi

4. Mashehe wanalalamika ati kanisa katoliki linapata ruzuku nyingi Toka serikalini na kupendelewa.
Kanisa catholic linamiliki miradi inayofika Kwa jamii kama vyuo vikuu kama SAUT, hospital Bugando, vyuo n. K

5. Kwamba TEC halikutetea waislam waliouwa Waislam Mwembechai.
Aliyeuwauwa mashehe mpo mnasifia kama bakwata ila mnataka TEC wafanye iyo kazi

6. Hoja kuwa TEC haiwapi waislam mahakama ya kadhi
Waislam wamekuwa Marais na mahakama ya kadhi hamjapewa Kikwete na Mwinyi ni waislam wamtawala miaka 10 ila hawakuona tija ya mahakama ya kadhi

7 TEC wanataka katiba mpya
KOSA LA TEC NI KUKATAA KUNYA AKILI NA KUBAKISHA MAVI KAMA AFANYAVYO SAAMIA BUSHIRI NA MASHEKH.... ilo ni kosa kubwa sana 😁😁😁😁
 
JamiiForums

Ajitokeze mtu aniambie kosa la TEC, nitaweka ukatoloki wangu pembeni tujadili Kwa upole​

Jump to newSubscribe
•••
[IMG alt="ngara23"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/565/565550.jpg?1749207170[/IMG]

ngara23​

JF-Expert Member​

[IMG alt="iamwangdamin"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/276/276017.jpg?1755956230[/IMG]

iamwangdamin​

JF-Expert Member​

TEC NI VIBARAKA

Vibaraka wa nani?

[IMG alt="Luca Paguro"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/703/703880.jpg?1751469008[/IMG]

Luca Paguro​

JF-Expert Member​

TEC NI VIBARAKA
Fafanua

[IMG alt="macho_mdiliko"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/9/9796.jpg?1561188283[/IMG]

macho_mdiliko​

Platinum Member​

Waislam wamekuwa Marais na mahakama ya kadhi hamjapewa Kikwete na Mwinyi ni waislam wamtawala miaka

TEC wameandamwa sana kuanzia raia namba 1 akiwaita ati ni wavaa majoho mara wapiga nyeto na kashfa kibao, ila sijaona mtu aliyeji hoja zao

Wametishiwa kukatwa vichwa

1. TEC wanakemea utekaji na mauaji ya Watanganyika.
Wanaipinga TEC waseme wazi haya matukio hayapo

2 TEC wanapinga ulaghai na wizi wa uchaguzi.
Atokeze mtu aseme kuwa Tanzania haya matukio hayapo

3 TEC wanapinga ufisadi

4. Mashehe wanalalamika ati kanisa katoliki linapata ruzuku nyingi Toka serikalini na kupendelewa.
Kanisa catholic linamiliki miradi inayofika Kwa jamii kama vyuo vikuu kama SAUT, hospital Bugando, vyuo n. K

5. Kwamba TEC halikutetea waislam waliouwa Waislam Mwembechai.
Aliyeuwauwa mashehe mpo mnasifia kama bakwata ila mnataka TEC wafanye iyo kazi

6. Hoja kuwa TEC haiwapi waislam mahakama ya kadhi
Waislam wamekuwa Marais na mahakama ya kadhi hamjapewa Kikwete na Mwinyi ni waislam wamtawala miaka 10 ila hawakuona tija ya mahakama ya kadhi

7 TEC wanataka katiba mpya
1)

Habari! Najitokeza kujuambia makosa yake kama ifatavyo
1) Kupotea/Kutekwa kwa watu kulikuwepo tokea kipindi cha Rais Magufuri(RC mwenzao)lakini TEC hawakuitisha maandamano kama wanavyokomaa sasa kipindi cha Utawala wa Muislam.
2) Uchaguzi wa 2020 kuanzia uchaguzi wa Serikari za mitaa mpaka uchaguzi Mkuu wengi wa wagombea wa upinzani walienguliwa. TEC walikuwepo hawakuhamasisha maandamano wala kukemea serikari kama wanavyofanya sasa kipindi cha utawala wa Muislam.
3) Kumbuka kulitokea ufisadi wa kutisha wa ESCROW,EPA na viongozi wa kubwa wa KANISA la RC walipitishiwa mzigo na bank yao TAKATIFU ya MKOMBOZI ilitumika kutakatisha pesa. TEC ilikuwepo na haijakemea wala kuitisha maandamano kama wanavyofanya sasa.
4) Kipo CHUO KIKUU CHA MUM hakipati ferver kama SAUT na Bugando. Hili liwekwe sawa na misamahayote ya kodi inayopata TEC tunataka MADHEHEBU yote ya DINI yafaidike na misamaha.
5) BAKWATA hakuwai kulaani mauaji ya 29 OCTOBER, BAKWATA hajawahi kulaani mauaji ya MWEMBECHAI. TEC hajalani mauaji ya MWEMBECHAI ila IMELAANI mauaji ya 29 OCTOBER. Means mauaji ya IWAISLAM hayawahusu?
6) GWAJIMA na TEC walihakikisha hakuna MAHAKA YA KADHI itasimama walimwandama KIKWETE mpaka akaona bora yaishe.
7) 2015 Kipindi cha Magufuri RC mwenzao aliweka wazi katiba mpya siyo kipaumbele kwake na akaenda mabali zaidi kuzuia hata harakati za siasa. TEC walikuwepo hawakunyanyua mdomo wala kuhamasisha maandamao kama wanavyokomaa hivi sasa.
NB. Tafakuri hoja hizo kwa kumshirikisha Mungu na ubongo bila kuwa na mapenzi wala mahaba utajua kwamba TEC siyo watu wema hasa kwa Utawala unaongozwa na MUISLAM
 
KOSA LA TEC NI KUKATAA KUNYA AKILI NA KUBAKISHA MAVI KAMA AFANYAVYO SAAMIA BUSHIRI NA MASHEKH.... ilo ni kosa kubwa sana 😁😁😁😁
😂😭
 
JamiiForums

Ajitokeze mtu aniambie kosa la TEC, nitaweka ukatoloki wangu pembeni tujadili Kwa upole​

Jump to newSubscribe
•••
[IMG alt="ngara23"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/565/565550.jpg?1749207170[/IMG]

ngara23​

JF-Expert Member​

1. TEC wanakemea utekaji na mauaji ya Watanganyika.
Wanaipinga TEC waseme wazi haya matukio hayapo

2 TEC wanapinga ulaghai na wizi wa uchaguzi.
Atokeze mtu aseme kuwa Tanzania haya matukio hayapo

3 TEC wanapinga ufisadi

4. Mashehe wanalalamika ati kanisa katoliki linapata ruzuku nyingi Toka serikalini na kupendelewa.
Kanisa catholic linamiliki miradi inayofika Kwa jamii kama vyuo vikuu kama SAUT, hospital Bugando, vyuo n. K

5. Kwamba TEC halikutetea waislam waliouwa Waislam Mwembechai.
Aliyeuwauwa mashehe mpo mnasifia kama bakwata ila mnataka TEC wafanye iyo kazi

6. Hoja kuwa TEC haiwapi waislam mahakama ya kadhi
Waislam wamekuwa Marais na mahakama ya kadhi hamjapewa Kikwete na Mwinyi ni waislam wamtawala miaka 10 ila hawakuona tija ya mahakama ya kadhi

7 TEC wanataka katiba mpya

[IMG alt="iamwangdamin"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/276/276017.jpg?1755956230[/IMG]

iamwangdamin​

JF-Expert Member​

TEC NI VIBARAKA

[IMG alt="ngara23"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/565/565550.jpg?1749207170[/IMG]

ngara23​

JF-Expert Member​

Vibaraka wa nani?

[IMG alt="Luca Paguro"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/703/703880.jpg?1751469008[/IMG]

Luca Paguro​

JF-Expert Member​

Fafanua

[IMG alt="macho_mdiliko"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/9/9796.jpg?1561188283[/IMG]

macho_mdiliko​

Platinum Member​

1)

Habari! Najitokeza kujuambia makosa yake kama ifatavyo
1) Kupotea/Kutekwa kwa watu kulikuwepo tokea kipindi cha Rais Magufuri(RC mwenzao)lakini TEC hawakuitisha maandamano kama wanavyokomaa sasa kipindi cha Utawala wa Muislam.
2) Uchaguzi wa 2020 kuanzia uchaguzi wa Serikari za mitaa mpaka uchaguzi Mkuu wengi wa wagombea wa upinzani walienguliwa. TEC walikuwepo hawakuhamasisha maandamano wala kukemea serikari kama wanavyofanya sasa kipindi cha utawala wa Muislam.
3) Kumbuka kulitokea ufisadi wa kutisha wa ESCROW,EPA na viongozi wa kubwa wa KANISA la RC walipitishiwa mzigo na bank yao TAKATIFU ya MKOMBOZI ilitumika kutakatisha pesa. TEC ilikuwepo na haijakemea wala kuitisha maandamano kama wanavyofanya sasa.
4) Kipo CHUO KIKUU CHA MUM hakipati ferver kama SAUT na Bugando. Hili liwekwe sawa na misamahayote ya kodi inayopata TEC tunataka MADHEHEBU yote ya DINI yafaidike na misamaha.
5) BAKWATA hakuwai kulaani mauaji ya 29 OCTOBER, BAKWATA hajawahi kulaani mauaji ya MWEMBECHAI. TEC hajalani mauaji ya MWEMBECHAI ila IMELAANI mauaji ya 29 OCTOBER. Means mauaji ya IWAISLAM hayawahusu?
6) GWAJIMA na TEC walihakikisha hakuna MAHAKA YA KADHI itasimama walimwandama KIKWETE mpaka akaona bora yaishe.
7) 2015 Kipindi cha Magufuri RC mwenzao aliweka wazi katiba mpya siyo kipaumbele kwake na akaenda mabali zaidi kuzuia hata harakati za siasa. TEC walikuwepo hawakunyanyua mdomo wala kuhamasisha maandamao kama wanavyokomaa hivi sasa.
NB. Tafakuri hoja hizo kwa kumshirikisha Mungu na ubongo bila kuwa na mapenzi wala mahaba utajua kwamba TEC siyo watu wema hasa kwa Utawala unaongozwa na MUISLAM
Kuhusu utawala wa JpM na TEC
TEC walitoa nyaraka nyingi kwenye utawala wa Magufuli hadi maaskofu wakaambiwa wana uraia wenye utata

Kuhusu mahakama ya kadhi
Hii. Mahakama haina tija Tanzania na ni tishio. La usalama
Hii sio. Islamic state fikiria mtu akiiba adhabu ni kuuliwa au mtu alifumaniwa adhabu yake ni kupigwa mawe hadi afe,. Ni Rais Gani ataruhusu hii. Mahakama ya kipumbavu
Anyway Samia ni. Muislam naomba Mungu awape mahakama ya kadhi
 
Binafsi Mimi ni Muslim Lakini niko pamoja na TEC ata kukitokea vita nitashika upanga nikiwa upande wao
 
TEC hawana kosa lolote Kwa sasa!

Kosa lao kubwa ni kutotia presha ya katiba mpya mapema has kipindi.cha mkapa,ni kana kwamba mambo yao yalikua mazuri kipindi hicho na kujisahau kwamba Kwa katiba iliyopo lazima Kuna nyufa zitajitokeza kama Sasa ilivyo!

Baad ya wao pia kupokea kipigo Toka Kwa wenye madaraka ndipo wakakumbuka kwamba Kuna reforms za kufanya!!
 
Back
Top Bottom