Ajivika sanda kupinga kuondolewa huko Gaza anataka awahishwe kwa Allah wake

Ajivika sanda kupinga kuondolewa huko Gaza anataka awahishwe kwa Allah wake

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Idhaa rasmi za Hamas zinasambaza video inayoonyesha mtu wa Gaza aliyejitoa muhanga akiwa amevikwa sanda ya mazishi akiwahutubia wakazi wa Shati na vitongoji vya Sheikh Radwan:

“Mbona mnaogopa kifo, mbona mnatoka majumbani mwenu, mnawasaidia Mayahudi kuingia maeneo haya, mimi hapa nimejifunika sanda zangu ndani ya nyumba yangu, nabaki hapa, sitatoka, sitaondoka, sitaondoka, nitaondoka tu kwenda kuwa na Mwenyezi Mungu, nataka kukutana na Mwenyezi Mungu, kaeni majumbani mwenu, simameni imara!

Anawahimiza raia kubaki katika eneo la vita na kufa. Hamas inachapisha video yake kwenye chaneli zao zote na akaunti za media shirikishi.

Wanataka Wagaza wafie katika eneo la vita, wajitoe mhanga kwa ajili ya uzushi wa ibada ya kifo cha kijihadi.

Bahati nzuri sana mtu huyo amepatikana amekufa na sanda yake mkononi wakati Majeshi ya Israel yakisonga mbele kupambana na magaidi wa Hamas!!!

 
Semeni ukweli wekufa wangapi yaàni droni ilipuke palipo na watu rate ya watu 8 waumie kusiwe na kifo

#Enemy_Media

Magen David Adom: 8 injuries are indicated as a result of the explosion of a Yemeni drone at Ramon Airport.

#Military_Media
 
Semeni ukweli wekufa wangapi yaàni droni ilipuke palipo na watu rate ya watu 8 waumie kusiwe na kifo

#Enemy_Media

Magen David Adom: 8 injuries are indicated as a result of the explosion of a Yemeni drone at Ramon Airport.

#Military_Media
Huyo msafisha vyoo kule Tela Aviv Echolima1 hawezi kusema wangapi wameuliwa na Yemen kuanzia makao makuu ya jeshi mpa hapo Airport. Kitu cha kushangaza Israel anadai kuzitungua drones na pia katungua Missiles kuna waIsrael walikuwa kumbe wana records pale karibu na Airport. kuonyesha drones zimepiga Airport.
 
Mungu hawezi kupigania Magaidi!!!
Unanikumbusha story za Firauni alimuambia Mussa, Mungu wako yupo wapi exactly 💯 kama nyie wakristo.

Siku zote Mungu huwa anawacha awaone watu wake wana uvumilivu wa aina gani. Firauni alifanya ufisadi miaka lakini mwisho wake alibidi akubali kuna Mungu lakini hapo ilikuwa too late.

Exactly kama wakristo wanavyo tuambia Allah yuko wapi hahaha, wamesahau hata Firauni alisema yeye ni Mungu kama wakristo wanavyo dai Yesu ni Mungu.

Afu ugaidi unatafsiriwa na msafisha vyoo vya Tela Aviv hahaha, kweli dunia hi kuna makenge.
 
Huyo Gaidi tu kawahishwa tayari.
Hawa wajinga wamekula sana hela za ukimbizi Europe huko Gaza wanaenda kuhimiza fujo tu.
Ukiangalia huyo si mkazi hapo, kaenda kuhamasisha fujo tu.
Uganda na Rwanda wamekaribisha wagaza waende wakae nao
 
Back
Top Bottom