Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
22,976
Reaction score
22,564
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).

F3597D58-52E9-4AC5-9059-0E43B0D362CB.jpeg

Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu ya kutokuwa radhi kuvaa namba hizo ambazo zinaashiria kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja ndipo akaondolewa kikosini dakika za mwisho.

Kwenye mzunguuko huo ambao timu zote za Ligue 1 walivaa jezi zenye namba zenye rangi ya upinde PSG walishinda 4-0, kwa upande wa Kocha wa PSG Pochettino alisema Idrissa “Idrissa alilazimika kuondoka katika list kwa sabau zake binafsi lakini si majeruhi”.

Credit: Milad Ayo
 
Kwenye wimbo wa Kwangwaru Diamond kavaa Rainbow rangi kuunga mkono.
 
Diamond inawezekana wala haelewi yeye anajua ni rangi ya marasta, au kitaalam tuseme meneja wake kamuelekeza vibaya... mwacheni Simba wetu..
 
Walianza kwa makepteni wa timu sasa wameanza kuwalazmisha timu nzima
 
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).

F3597D58-52E9-4AC5-9059-0E43B0D362CB.jpeg

Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu ya kutokuwa radhi kuvaa namba hizo ambazo zinaashiria kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja ndipo akaondolewa kikosini dakika za mwisho.

Kwenye mzunguuko huo ambao timu zote za Ligue 1 walivaa jezi zenye namba zenye rangi ya upinde PSG walishinda 4-0, kwa upande wa Kocha wa PSG Pochettino alisema Idrissa “Idrissa alilazimika kuondoka katika list kwa sabau zake binafsi lakini si majeruhi”.

Credit: Milad Ayo
Ametisha sana
 
Mambo mengine unapuuza tu maisha yasonge
 
Back
Top Bottom