Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

Sswa amefanya la maana lakini vipi kibarua chake wskimsitishia?
 
Mabeberu yanatatuana marinda na kutaka kulazimisha mambo..pumbavuuuu..

Safi sana Idris japo carrier yako unakuwa umeiweka kwenye risk..
 
Wanaume wawe. Wana ingiziaza zile nyama mnyumbuiko sehemu za haja kubwa , then wanawake wawe wana gusanisha magoti kwenye vibuyu vya asali dah ni ujinga wa 5g aseeeeeeee
 
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).

F3597D58-52E9-4AC5-9059-0E43B0D362CB.jpeg

Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu ya kutokuwa radhi kuvaa namba hizo ambazo zinaashiria kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja ndipo akaondolewa kikosini dakika za mwisho.

Kwenye mzunguuko huo ambao timu zote za Ligue 1 walivaa jezi zenye namba zenye rangi ya upinde PSG walishinda 4-0, kwa upande wa Kocha wa PSG Pochettino alisema Idrissa “Idrissa alilazimika kuondoka katika list kwa sabau zake binafsi lakini si majeruhi”.

Credit: Milad Ayo
Hawa jamaa si wazuri, heri angepinga kimyakimya hata kwa kusingizia matatizo ya kifamilia kuliko kubainika alikataa kuunga juhudi zao za Kisodoma na Gomora.

Usishangae msimu ujao akapitia wakati mgumu kuliko kawaida. Hawa ndio wafadhili wakuu wa vitu vingi ikiwemo michezo mbalimbali, muziki, biashara n.k.

Mungu amsaidie maana hawa watu ni hatari ktk nyanja zote.
 
Bora kafanya wazi ili dunia ijue kuna watu hawataki upumbavu, Mungu aliyempa pumzi na kipaji ndio huyohuyo ataemuonyesha njia kwenye ugumu
 
Back
Top Bottom