Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Sswa amefanya la maana lakini vipi kibarua chake wskimsitishia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzao huyo achana naeKwahiyo wewe ulitaka avae ule upuuzi?
Hata ningekuwa mimi bora wasitishe tu kuliko kutetea nisichokiamini,Sswa amefanya la maana lakini vipi kibarua chake wskimsitishia?
Nimekupa headlineAnzisha uzi
Hawa jamaa si wazuri, heri angepinga kimyakimya hata kwa kusingizia matatizo ya kifamilia kuliko kubainika alikataa kuunga juhudi zao za Kisodoma na Gomora.Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).
![]()
Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu ya kutokuwa radhi kuvaa namba hizo ambazo zinaashiria kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja ndipo akaondolewa kikosini dakika za mwisho.
Kwenye mzunguuko huo ambao timu zote za Ligue 1 walivaa jezi zenye namba zenye rangi ya upinde PSG walishinda 4-0, kwa upande wa Kocha wa PSG Pochettino alisema Idrissa “Idrissa alilazimika kuondoka katika list kwa sabau zake binafsi lakini si majeruhi”.
Credit: Milad Ayo
Bora kafanya wazi ili dunia ijue kuna watu hawataki upumbavu, Mungu aliyempa pumzi na kipaji ndio huyohuyo ataemuonyesha njia kwenye ugumuHawa jamaa si wazuri, heri angepinga kimyakimya hata kwa kusingizia matatizo ya kifamilia kuliko kubainika alikataa kuunga juhudi zao za Kisodoma na Gomora.
Usishangae msimu ujao akapitia wakati mgumu kuliko kawaida. Hawa ndio wafadhili wakuu wa vitu vingi ikiwemo michezo mbalimbali, muziki, biashara n.k.
Mungu amsaidie maana hawa watu ni hatari ktk nyanja zote.