Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

Hivi asili ya neno KAGERA ni mto au ni MAPORI?je kuna haja gani ya kuchochea.
Amechochea nini, sasa naanza kuelewa kwanini wazalendo kama hawa wanaishia kuitwa wachochezi, yeye kama Mtanzania anayeipenda nchi yake ametoa taarifa kinachotakiwa ni vyombo husika vifuatilie kujua ukweli wake.
 
Hoja ni ulinzi au kupandishwa hadhi?

Serengeti Ni national park lakini wanyama wanaenda Kenya kila siku.
Mkuu hatukatai kuwa wanyama huwa wanahama Serengeti na kwenda masai Mara Kenya ambapo uhamaji huo ni wa asili, tatizo la Rwanda ni kujenga fensi kwamba wameingia wasirudi tena Tanzania. Kenya hawajawazuia kurudi
 
Urafiki binafsi ni bora zaidi hayo mengine si kipaumbele, mtajuana wenyewe.
 
Ndo maana EAC haiwezi kudumu ikiwa majirani wana tabia chafu kama hizi!! Usikute hata wanajeshi wetu kule DRC wanauliwa na majeshi ya jirani yetu!;
 
Bado tunakosa usiriaz hata kwenye vitu vya maana,hili jambo mamlaka zitalichukulia poa tu kama ilivyo kawaida.....!!wakati huu kwa Mkoa wa Mwanza wapo wanaandikisha vitambulisho vya utaifa na kuna Wanyarwanda wataandikishwa vitambulisho hivyo,wapite maeneo ya Bugarika wakague waone kama hawata wapata....
 
Rwanda wanatuonea sana, Huu undezi unasababishwa Na Yale mavumba ya kichawi Na mafusho ya kwenye mwenge
Kuna vitu viwili Mwl ametuachia, ni tabu. Kimoja hicho ulichotaja.
 
Wanyama kuhama Ni kitu cha kawaida tatizo linakuja wanapojenga fence Ili wanyama wakishaingia kwenye hifashi Yao wasitoke tena. Wahusika wafuatiliena kutatua hili tatizo.TUsichukulie poa wenzetu Ni wajanjawajanja Sana!
 

hujaeleweka kabisa....nenda shule kwanza
 
Afrika moja shida nini?
 
H kiwangala yuko sawa tu
Hii Nchi imeshageuka shamba la bibi
Yes !ukuta lazima mpaka wote wa Tanzania majirani wote hawafai.Mtihani lake Victoria na Tanganyika itahitaji utalaamu wa ziada kujenga ukuta kwenye ziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…